Mwanakwetu hamtishi watu πΉπΉNamanua tu, si kazi yao.
Mimi huwa naenda wanitoe zile za pembeni pembeni kwenye mikunjo ila siyo kwenye kipochi, pia waondoe za mferejini π
πΉπΉπΉ Huo ujasiri ulinishinda, kummanulia mtu anichungulie weeehh..!!Una bong'oa kabisaa, watu wakupaluzee mtaroni? Wee huogopiiii?
Wee Binti, ujasiri umevuka mipaka. Lol
bro ni mweupe wewe kumbeπ
Nawaonea wivu wafanyakazi wa scrubs na waxing ...πWaxing ya huko na kwapa inauma balaa ila ukimaliza utakaa muda mrefu sana bila kuziona. Na zikija kuota zinaota laini nzuriii
Rudia tenaπSi nimetoa na wewe
Sema bhn ili tukushauriπ€
Uwiii kumbeNafikiri kuna dawa za kutuliza maumivu unapewa kwanza.
Dah! Kuna mmoja akanambia ukitaka visiume tunaanza kuprun kwanza vibaki kidogo. Kumbe ni michezo!?Waongo hamna ambayo ni painless. Chezea kuchomoa nywele from the root weweπ€£π€£.
Sema kuna njia za kufanya isiume sana βisiume sanaβ kama kutumia dawa za maumivu
Aweeeeeh, hebu fungua ka office nikuletee wateja, ujionee vipapa vya kila aina hadi uzoeeeNawaonea wivu wafanyakazi wa scrubs na waxing ...π
Eeeh vikiwa vidogo vidogo haviumi sana. Tengeneza ya sukari nyumbani mwenyewe ujionjeshe kwanza uone. Haiumi sanaπ€£Dah! Kuna mmoja akanambia ukitaka visiume tunaanza kuprun kwanza vibaki kidogo. Kumbe ni michezo!?
Na nilimuahidi nitarudi π
ππ dah! Haya sukari naifanyaje?Eeeh vikiwa vidogo vidogo haviumi sana. Tengeneza ya sukari nyumbani mwenyewe ujionjeshe kwanza uone. Haiumi sanaπ€£
Lakini si tulikubaliana kapicha bila chai ni uzi Evelyn SaltKatika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral expression???
Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie mahali nitaenda, hivi wax haiumi???. Agrrrrrr nikinyoa na shaving cream siku yakiota ni magumu kama steel wire πππ
(Jukwaa la jokes ila ni serious issue)
Siku unaenda kufanya waxing nishtue twende woteKatika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral expression???
Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie mahali nitaenda, hivi wax haiumi???. Agrrrrrr nikinyoa na shaving cream siku yakiota ni magumu kama steel wire πππ
(Jukwaa la jokes ila ni serious issue)
Ni namna ya kupooza tu.ππ dah! Haya sukari naifanyaje?
Na kwanini uwa wakivuta wanapaziba? Ni katika namna ya kupoza au
πππ€ Asante kwa shule. Nitaanza na jaribia la kwapa ili vikiuma, niache kidukuNi namna ya kupooza tu.
Unatengeneza kwa kutumia maji ya limao na sukari unaipika hadi inakuwa kama gundi. Halafu unaiacha i cool kwanza kisha unaanza kazi. Funga milango kabisa ili ukipiga nduru majirani wasije
Kwapa inauma zaidi ya kwenye pussy. Nakushauri anza huko ila kwa juu hapo kwanzaπππ€ Asante kwa shule. Nitaanza na jaribia la kwapa ili vikiuma, niache kiduku
Hivi emoji ya kicheko watarudisha lini jamani....wanatutesa mno hasa katika comment km hizi π€£π€£π€£π€£Mwanakwetu hamtishi watu πΉπΉ
Ni vile wanahitaji pesa ila wangewafurusha..!! π€£
π€£π€£π€£π€£π€£π€£πΉπΉπΉ Huo ujasiri ulinishinda, kummanulia mtu anichungulie weeehh..!!