Huyu mbunge mpumbavu huyu! Inakuwaje anakuja kuzungumzia hoja za Geita mjini wakati yeye ni wa vijijini huko bush? Msukuma aache ushamba wa jiwe! Mkurugenzi mbona kaeleza vizuri tu! Anajadili hoja ambayo inamzidi kimo, hizo ni hoja za watu wenye akili!Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake.
Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
Mkurugenzi amehoji ni eneo lipi la huduma za kijamii limenyimwa pesa? Msukuma anabwabwaja tu! Kutolea mfano zahanati zilizojengwa, shule za msingi mpya zimejengwa. Mimi nimekubaliana na DED, haiwezekaji DED mzima awe anatembelea mikweche wakati mji anakusanya pesa! Msukuma aache upumbavu!!BAada ya kumsikiliza Msukuma na mkulugenzi......katika hili na ungana na Msukuma.......
Na huu ndio msingi wa tatizo la taifa hili......kuwa Na viongozi wanajiwazia wenyewe kuliko wananchi.......
Kapumbavu tu, eti kanakuja kuzungumzia hoja za Geita mjini wakati jimbo la kenyewe linajifiafia!Hiyo ni serikali ya CCM na tunajua serikali ya CCM ilivyo kwenye ufisadi.
NB: Hapo Msukuma hajapewa 10% ndio unaona anapiga kelele.
Huyo msukuma si huwa mjinga tu,hata watoto huwa wanamdharau kwa kuropoka tuNafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake.
Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
Kumbe ukitaka kununua gari unawahusisha wizara ya ujenzi?
Anyway, hapo katumia vibaya pesa yetu. Geita na vumbi lote lile v8 la m460 la nini? hehehehheehe
Naelewa mkurugenzi ni mtu mkubwa, lakini kwani akitembelea suzuki maruti atapungukiwa kitu gani bana.
Kuna mawaziri hapa sweden wanatembelea baiskeli za Batavuz na maisha yanasonga tu.
Unaweza kukuta ni mjomba wa jiwe huyo,Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake.
Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
Ahsante sana mkuu hii bar ni hatari.Rule of law should be a cornerstone of our nation! Even the persons that have the power to be above the law by instruments, should observe the existence of such instruments as the law itself !
Wenye mamlaka wasitumie mapungufu ya kisheria yanayotoa mianya ya ubabe kuwa wababe. Huo ni ushamba uliopitiliza.
Ukishangaa ya Geita utastaajabu ya TEMEKE. Jana tarehe 02.12.2020 Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke ndugu Lusubilo Mwakabibi amemjibu mwandishi wa habari wa ITV kuwa mwandishi hana hadhi ya kumhoji yeye Mkurugenzi, mwandishi arudi ofisini kwake amwambie Mkurugenzi wa ITV ndio amtafute Mkurugenzi Mwakabibi, huyo ndiyo hadhi yake. Hiyo imerushwa kwenye habari ya saa 2 usiku, hawa Wakurugenzi kwa sasa hawajali kabisa, 'wanajiamini' kwelikweli.Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake.
Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
Tatizo ni bei ya hilo gari ukiifananisha na hayo mengine unayoyasema na pia ukiipima na bei ya soko ya hilo gari.Kwani ni yeye tu anaetembelea v8 FYI halmashauri nyingi wanatumia hayo magari ...pili umasikini wa wa Watanzania sio kwasababu ya kununua V8 nafikiri sisi ndo hatumtendei haki ...i love the confidence he has
Msukuma GGM.Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake.
Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
Msukuma ni mjinga na anatumiwa na KANYASU kwenye hili SAGA. Rudi jimboni kwako katongoze walimu wa shule za msingi kama kawaida yako, peleka maji, boresha soko lako pale SUNGUSILA, pigania wananchi wako wapate hata kakiwanda kadogo ka mananasi, boresha NZELA atleast paeleweke ya GEITA MJINI acha KANYASU ayaongelee pambana NZELA INAKUFIA. Wewe ni nani mnafiki tu. Tunajua una chuki na mkuu wa mkoa sasa umeihamishia kwa mkurugenzi. Utavuliwa nguo brooo angalia sanaa madudu yako yato watu wanayo wanakulinda tu.
Kwa GEITA ninayoijua mil. 400 ni hela ya kupiga simu kwa wadau wa maendeleo ndani ya siku moja tu unaipata.
Na cha ajabu mtasikia mkurugenzi na mkuu wa mkoa wametolewa mana haka kajamaa kanafiki sanaa saaaaa
Msukuma acha ushamba unadhani mkurugenzi asipotembelea VX geita itakua ulaya? Huo naona ni wivu tuu unakusumbua.
Ndege zimenunuliwa kwa Manufaa ya wananchi, V8 imenunuliwa kwa Manufaa ya mkurugenzi akiwa anaenda kwa mchepuko wake aonekane anandinga kai ni mfiraji wa pesa za serikali sio wa kumfumbia macho huyu IPO siku atanunua bugati kids V8 sio hadhi yake inamuumiza mgongo.Hapa unataka kutuambia nini? Hiyo CCM ingelijua hayo yote wasingekzana kununua ndege kila mwaka kwa ajili ya matumizi yasiyofaa. Ina maana wasukuma hawajui nini kipaumbele cha wananchi?
Duh... Gari ya ndoto yangu hii, ntanunua kweli?How Much Does the Toyota Land Cruiser Cost?
The 2021 Toyota Land Cruiser has an $85,415 starting price. That’s higher than the starting prices of most rivals. On the other hand, the Land Cruiser’s top $87,745 trim is considerably less expensive than the top trims of every competitor.
Mkuu kwa exchange rate ya 1$=Tshs 2,320, gari ha $87,7745 gari hiyo kabla ya kodi ni Tshs 203,568,400.00 ikiwa huko huko iliko.
Kodi ya bongo ni almost 100% ya purchase price.
Hivyo ikifika bongo kodi ya TRA/Customs ni 203,568,400.
Hivyo hata ukiletewa hiyo gari hapa nchini na kusamehewa freight(kwa vile inaletwa na Dealer) utalipa Tshs 407,136,800.
Zamu yako kutamba mitaani na hela ya kodi!
Sema hiyo ni kwa vile ni ziro kilometers. Ila kama imetumika kwa miaka hata 5 nafikiri inagonga kwenye milioni 200 ikifika hapa bongoHow Much Does the Toyota Land Cruiser Cost?
The 2021 Toyota Land Cruiser has an $85,415 starting price. That’s higher than the starting prices of most rivals. On the other hand, the Land Cruiser’s top $87,745 trim is considerably less expensive than the top trims of every competitor.
Mkuu kwa exchange rate ya 1$=Tshs 2,320, gari ha $87,7745 gari hiyo kabla ya kodi ni Tshs 203,568,400.00 ikiwa huko huko iliko.
Kodi ya bongo ni almost 100% ya purchase price.
Hivyo ikifika bongo kodi ya TRA/Customs ni 203,568,400.
Hivyo hata ukiletewa hiyo gari hapa nchini na kusamehewa freight(kwa vile inaletwa na Dealer) utalipa Tshs 407,136,800.
Zamu yako kutamba mitaani na hela ya kodi!
Wewe ndio mpumbavu mkuu.Mkurugenzi amehoji ni eneo lipi la huduma za kijamii limenyimwa pesa? Msukuma anabwabwaja tu! Kutolea mfano zahanati zilizojengwa, shule za msingi mpya zimejengwa. Mimi nimekubaliana na DED, haiwezekaji DED mzima awe anatembelea mikweche wakati mji anakusanya pesa! Msukuma aache upumbavu!!