Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?


Hiyo ndiyo ilikuwa mambo ya awamu ya tano.

Uhuru ukiwamo wa vyombo vya habari ukiporwa inakuwa hivi.

Tumetoka mbali kweri kweri!
 
Na wewe ndio umeamua utusambazie huku?mbona video yenyewe haina sauti wala sura ya huyo Sabaya?

Tutajuaje labda alienda kukamata muarifu wewe unasema ameenda kukusanya kodi kwa mbavu.

Hacheni uchochezi🤔
Huyo jamaa ni mhalifu ambae siku nyingi alitakiwa awe amefungwa magereza. Tuulize sisi tunaoishi nae huku ndio tunamfahamu nyie mataga wenzake mnateteaga upumbavu tu.
 
Husda mbaya sana....mnapochafua watu wanaowazibia riziki mjue mmatengenezea mazingira mabaya vizazi vyenu huko mbeleni.
Kuna uongo/husda yoyote hapo?
Kwamba sio yeye?
Kwamba video ni ya uongo (edited)?
Kwamba hujaiona sura yake kwenye ile ya kwanza?
Au .......

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…