Hivi ilikuaje hadi urafiki wa baba na jirani yake tolu kuvunjika?

Mmoja ni mhutu na mwingine mtusi, hawaivi
 
Baba Lofa na Tolu Mjanja ulitarajia nini?
 
Yani watu bado waoga hadi leo mnatumia codes? Kweli jamaa aliwashikisha adabu
Nadhani nimazoea tu ila huwa nashindwa kuelewa kwa nini Bongo movie Inayumba Kwa conspiracy theorists wa hapa JF wangekuwa na blockbusters movie kila mwezi
 
Fikiria hii story ikatengenezewa move kali
Hakika itauza balaa
 
Tolu muhuhuni muhuni anaendesha ile familia yake kijanja janja tu
 
Wezi wanapozikana walichoiba.
 
Nimeupenda mfano wako mkuu. Kma ww ni mfugaji........πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Inasemekana ugomvi wao ni njiwa baba aliingizwa choo cha kike,

Tolu ni mtu hatari saana roho mbaya anaiweza na akili anazo, aliyemuweza upande wetu ni mjomba aliyekuwa kapanga gorofa la nne
Hyo code ya mjomba ghorofa la nne bado mtihani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…