Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

Nimeulizia umagharibi wa wapi? Kuna tamaduni nyingi za kiafrika tumeacha. Zamani hata machifu wakifa walikuwa wanazikwa na mtu hai. Unafahamu? Baadhi ya tamaduni.

Tamaduni mbaya ni vizuri kuziacha hatupaswi kuziendeleza. Kama hizo za kuzulumu uhai wa mtu ni kosa.
 
Acha roho mbaya mkuu, funza, sisimizi na wadudu wa ardhini wale wapi? Hata uzalishwaji wa fossils upatikane vipi?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…