Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

Dunia inajaa vipi, miaka bilioni 4 iliyopita haikujaa ije kujaa leo?

Unajuaje kuzaliwa kwa viumbe hai na vifo vinavyobalansi nafasi ya dunia kutojaa?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Nenda kasome Wamakabayo ili ujue binadamu sio kuku kwamba akifa na chake kimeisha.
Mtu ukifa na mambo yako yamekufa mkuu. Hakuna Cha zaidi utafanya baada ya kufa.
Mambo ya kusema Kuna mbinguni watu wataenda kula Bata ni kujipa moyo tu.
 
Mtu ukifa na mambo yako yamekufa mkuu. Hakuna Cha zaidi utafanya baada ya kufa.
Mambo ya kusema Kuna mbinguni watu wataenda kula Bata ni kujipa moyo tu.

Sisi tuna amini baada ya maisha haya kuna maisha ya milele Mbinguni. Tutasherekea na Mungu na Malaika.

Wenzetu Waislam wanaamini watapewa na mabikra 72 huko 🤣
 
Miaka bilioni 4 iliyopita hadi sasa ni theluthi tu ya ardhi ndiyo imejaa palipobaki ni mapori tupu, acha hadithi za Juma na Uledi mkuu.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…