Na inawezekana alilitunga yeye! Ndio aina ya akili zenyewe hizo Mkuu kwenye uDC; uDAS, uDED, ndio wenye maamuzi hao![emoji16][emoji16][emoji16]mimi pia nimeshangaa sana! Ndo maana hata swali linaendana na msimamizi.
Pengine hata wasailiwa waliamua kujibu ovyo makusudi kwa kudharau swali na muuliza swali[emoji16]
Mlikosea sana, huwezi muuliza FM swali la kizùshi hivyo. Kama mdau alivyosema hapo juu, mlikua na jina lenu tayari.Finance Manager
Nimekupata vyema mkuu.Hicho si kigezo mtu wangu cha maana sana kwanza unaijua vizuri hiyo course unayotamka? Acha ujinga
konda pamoja na kuzishika mia tano kila siku kuna siku nilimuuliza mia tano ina alama gani kwa nyuma akakosa. Je nichukue hicho ni kigezo hafai kuwa kondakta wa daladala?
Umemaliza.Na wewe unaamini kabisa kwamba jamaa elfu 10 haijui? Tatizo mnakuwa mmeshaandaa watu wenu
Labda kama mlikuwa mnatafuta cashiers, vinginevyo hakuna relevance yeyote ya swali na taaluma ya fedha.Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad
Hili ten la zaman lilikuwa ten, ten kweliiIla nae alietunga maswali dah. Okay, ndio Tanzania.
Mimi imebidi nigoogle maana nilidhania Simba (ndio maana jina wekundu wa msimbazi).
View attachment 1719435View attachment 1719436View attachment 1719437
Ameomba kazi ya kutengeneza noti au?
Hawa ma HR wa aina hii huwa ni wapuuzi sana Mkuu na wanajikuta much know sanaHicho si kigezo mtu wangu cha maana sana kwanza unaijua vizuri hiyo course unayotamka? Acha ujinga
konda pamoja na kuzishika mia tano kila siku kuna siku nilimuuliza mia tano ina alama gani kwa nyuma akakosa. Je nichukue hicho ni kigezo hafai kuwa kondakta wa daladala?
Acha upuuzi hiyo siyo kazi yake.Kwa hiyo kila polisi au mwanajeshi anatakiwa kujua kutengeneza bunduki? Bora ungesema bank teller maana hata nao kujua kilichopo kwenye noti sio muhimu kwa kuwa siku hizi kuna technology ya Counter machine!Kwa hiyo finance Manager anayesimamia mikopo na marejesho hatakiwi kujua hata hela ya marejesho inafananaje?
Tatizo ni kutafuta maswali yanayolenga kumfelisha muhusika badala ya kufanya kazi aliyotumwa na bosi wake ya kutafuta mtu anayefaa ili kuongeza ufanisi wa kaziHawa ma HR wa aina hii huwa ni wapuuzi sana mkuu na wanajikuta much know sana
Yani kundi la watu (na wewe ukiwemo) mnakubaliana kuuliza picha iliyopo kwenye noti ili kupima ubora wa FINANCE MANAGER..!!!?[emoji1745][emoji134]Finance Manager