Hivi inakuwaje mtu anajua kusoma Quran ila lugha ya kiarabu haijui?

Mbona hushangai mtu anamaliza chuo kikuu kakariri kwa kizungu ila ukimwambia abadili kwa kiswahili page moja hawezi?
Halafu anajiita mtaalamu
Tatizo wengi wanakaririshwa bila kufundishwa maana ya maneno yote na hiyo sio sahihi

Kuelewa kiarabu na kuielewa quran ni mambo mawili tofauti
 
Hii sio topic iliyoko mezani. Ukiulizwa Mungu anakufaje na kufufuka utakua mi mjadala mwengine usioisha. Jikite kwenye mada husika
Mungu ni muweza ya yote anaweza kuamua kufa na kufufuka yeye Ndo aliumba kifo pia. Pia Mungu hakuna kinachomshinda hata kujibadilisha atakavyo bila kupangiwa.

KATIKA YESU LAZIMA TUAMINI NA KUABUDU

IN JESUS WE MUST TRUST AND WORSHIP

JESUS FIRST JESUS FOREVER

JESUS IS GOD
 
Mimi ni mtozi na mwanagenzi Philip Mwihava, endelea kurahani clouds fm.
 
Kiarabu kwa kukopa maneno hasa ya Inglishi, hakijawa haramu kweli? Hivi Qur'an inasemaje hapo?
Hata Quran imekopa maneno kibao kutoka lugha zingine ...Mtume alikuwa binadamu, alichangamana na watu wa mataifa mengine, hivyo alikopa misamiati Yao na mingine imeingia kwenye Quran.

Kuna maeno kwenye Quran mpaka Leo watu hawajui maana yake, sijui mtume aliyakopea lugha ipi
 
Mleta mada amezungumzia Quran na lugha ya kiarabu, wewe unatuletea habari za Biblia.

Inahusu?
 
Kwani wazungu wote wanajua kuongea kizungu mbona ni simple logic.
 
Huh? Sasa itakuwaje because unaambiwa hiko msahafu ameshushiwa mtume direct kutoka peponi ☺☺☺
 
Nadhani Kuna sehem wafrika mind zetu zinatatizo tupo ongelea kuhusu Dini.

My take: Tuishi kwa kutenda wema.
Hilo ndo mimi huwa nazongatia zaidi

Kuishi pasipo kumkwaza au kumuumiza moja kwa moja binadamu mwenzangu

Lakin inshu za kupiga makelele na kupiga magoti na kufunga siku sjui ngapi bila kula huko kote ni kujitesa tu
 
Lugha ina siri nyingi, ni Tanzania tu ambapo magazeti hayatumii KiSwahili sanifu.

Gazeti la Taifa Leo la Kenya linaweza kutumiwa na mgeni anayejifunza lugha ya kiSwahili lakini magazeti pendwa ya Tanzania kiswahili chake ni cha "mtaa fulani mdogo'.

13 August 2022
SIRI YA KUSOMA, KUANDIKA NA KUZUNGUMZA
Kutana na Joramu Nkumbi, Msomi wa Hesabu na Masuala ya Biashara ambaye amejikita katika uzungumzaji wa #Kiswahili fasaha. Utapenda anavyocheza na lugha

JORAMU NKUMBI: Fundi wa KISWAHILI hujawahi kuona, MISAMIATI hii aliyoishusha imetuvunja mbavu hapa


Source: simulizinasauti
 
Ndio mtu ashinswe kusoma?
Sikuwa najua hii ishu
 
Maana yake nini hapa, kwamba kunyumechake ni kwamba wapo wanaojua kusoma kiswahili lakini hawajui kuongea?

Upo sahihi! Hata kiingereza wapo watu tena wengi hapa Tz wanajua kukisoma vizuri, lakini waambie fungeni vitabu muanze kuongea kizungu, wengi watakimbia haraka sana!
 

Na itoshe kusema si kila Mwarabu ni mwislam au si kila Mtanzania ni mkristu!
 
Si hilo tu, hata Waarabu wengi wanajuwa Kiarabu lakini lugha ya Kiarabu iliyotumika kwenye Qur'an hawaijui.
 
Lugha iwe Kiarabu, Kiingereza n.k wenye hizo lugha hawazichukulii kwa wepesi kama sisi tunavyodhani kwa kulinganisha tunavyochukulia KiSwahili :

Mfano 'mistari' hii ya gwiji la tamthilia na uandishi mwingereza Shakespeare

The 1609 Quarto sonnet 11 version​

AS faſt as thou ſhalt wane ſo faſt thou grow’ſt,
In one of thine,from that which thou departeſt,
And that freſh bloud which yongly thou beſtow’ſt,
Thou maiſt call thine,when thou from youth conuerteſt,
Herein liues wiſdome,beauty,and increaſe,
Without this follie,age,and could decay,
If all were minded ſo,the times ſhould ceaſe,
And threeſcore yeare would make the world away:
Let thoſe whom nature hath not made for ſtore,
Harſh,featureleſſe,and rude , barrenly perriſh,
Looke whom ſhe beſt indow’d,ſhe gaue the more;
Which bountious guift thou ſhouldſt in bounty cherriſh,
She caru’d thee for her ſeale,and ment therby,
Thou ſhouldſt print more,not let that coppy die


Read more : source : Sonnet 11: As Fast As Thou Shalt Wane, So Fast Thou Grow'st
 
Oooh. Wenzio hata kusoma hiyo Quran hawajui Ila wamekariri tu. Na Wala hawajui maana ya wanachosema.
Ninawajua wengi Sana.
 
na wapo hao waarabu wanaokaa uarabuni wamezariwa uarabuni wanaojua kiarabu na kukisoma kiarabu pia na hata kukiandika

lakini hawawezi kusoma QURANI

JE UNAJUA HILO
Hapo pagumu ebu fafanua. Yaani mswahili wa bongo aneyejua kusoma na kuandika ashindwe kusoma biblia ya kiswahili. Au . Mwingereza anayejua kusoma na kuandika kiinglishi asijue kusoma bible iliyoandikwa kwa kiingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…