Hivi inakuwaje mtu mzima anakosa pesa Tanzania hii?

tafuta shughuli halali ya kufanya unataka kila mtu apate pesa kwa kutinduliwa kama wewe?
 
Na kuchambua njegere kibarazani kwa shemeji🤣
 
Attention seeking now ni ugonjwa wa akili....
Huwezi kuta watengeneza ajira kama Bakhresa au yule tajiri wa manyara "Tanzanite liquors" anafanya cheap discussions kama hizi...
Tafuta hela masikini wewe
 
Na kwa taarifa yako pesa haitafutwi. Kinachotafutwa ni fursa.

Vile hujui unadanganya watu watafute pesa. Pesa ni matokeo, ukishapata fursa, kama ni nzuri utapata pesa nzuri.
Tafuta hela masikini wewe
 
Tafuta hela masikini wewe unazeeka sasa ukiwa fukara
oya songi lako hilo daz baba alishakuimbia. wanamwita kaka poa huyu jamaa,wanamwita mtoto wa watu huyu jamaa sijui nidhiki au ni laana huyu jamaa, nakuomba umsameh maulanaa, jamaa amekomaa amekubuh kwenye ukafir upuuzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…