Hivi inakuwaje mtu mzima anakosa pesa Tanzania hii?

Kama pesa zenyewe unazoringishia ndo umepata Kwa staili hiyo, Bora nife maskini nipate Pepo kuliko njia hiyo ambayo Ina maswali mengi Kwa Mungu.
 
Pesa ni namba tu
Haina idadi wala mwisho
Ukijikuta unajua kutafuta hela utaishia kukufuru
 
maisha ni zaidi ya hela hatukuumbwa wala kuzaliwa nazo ni hiarj ya mtu kuwa na hela
 
Mimi sina hela ila nimefanikiwa kuwasitiri wazazi wangu kwa kanyumba kazuri na wanaishi vizuri,sasa tajiri mtoto kwa nini unaruhusu wazazi wako waishi kwa uchuuzi wa maparachichi?
Bora yangekuwa ya jumla lakini kwenye ungo na stuli?
 
Tafuta hela masikini wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…