Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
-
- #181
Zwazwa wewe unaekaa bila kufanya kazai kama jinga Fulani hivi ukisubiri kulelewa na watotoAcha uzwazwa. Bila mzasi mtoto angekuwapo na hivyo alivyo? Alaaniwe anayewateiekeza wazazi akijiona kajitengeza. Hata hivyo kama mzazi alikutelekeza si vibaya kumtelekeza.
Mungu akusamehe maana hujui utendaloHuyo mzazi majukumu yawe kwangu kwani Mimi ndio niliemzaa
Exactly 💯Nyie si mnawaambiaga watoto kuwa "tafuta cha Kwako acha kutegemea urithi wa wazazi" na sisi tunawaambia na nyie wazazi wa hovyo "tafuteni vya kwenu, acheni kutegemea vya watoto"
Yaani unitelekeza alafu nikutunze, labda kama sio mimi George..
naunga mkono hoja yakoMzazi aliyenitelekeza huyo kwangu mimi ni takataka..
Acha kukwepa majukumu tunza mzazi wako kwa kadri unavyoweza. Kuna watu wanatamani awepo mtu amwite baba na asikie neno lolote toka kwake.
Wewe huoni kuwa kitendo tu cha kukukuza tangu ulipozaliwa mpaka ukawa mtu mzima wa kujitegemea ni kitu ambacho hakilipiki? I mean unajua uzito wa mama yako kukubeba miaezi 9 na kukuzaa kwa uchungu na baada ya hapo wakashiriki kukukuza na kukufunza ni jambo ambalo hata mabilioni ya shillingi hayawezi kulipa? Anyways, siwezi kujua wengine mmekulia kwenye mazingira gani, lakini kwa sisi tuliobahatika kukulia kwa wazazi wanaowajibika tena kwa jembe la mkono huwa tunaona hatuwezi kuwalipa walichotufanyia.Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Hapa umechanganya mambo,unamaanishq mzazi aliyekutelekeza au ambaye hajakurithisha mbuziNyie si mnawaambiaga watoto kuwa "tafuta cha Kwako acha kutegemea urithi wa wazazi" na sisi tunawaambia na nyie wazazi wa hovyo "tafuteni vya kwenu, acheni kutegemea vya watoto"
Yaani unitelekeza alafu nikutunze, labda kama sio mimi George..
Sikuomba wanizae lakiniWewe huoni kuwa kitendo tu cha kukukuza tangu ulipozaliwa mpaka ukawa mtu mzima wa kujitegemea ni kitu ambacho hakilipiki? I mean unajua uzito wa mama yako kukubeba miaezi 9 na kukuzaa kwa uchungu na baada ya hapo wakashiriki kukukuza na kukufunza ni jambo ambalo hata mabilioni ya shillingi hayawezi kulipa? Anyways, siwezi kujua wengine mmekulia kwenye mazingira gani, lakini kwa sisi tuliobahatika kukulia kwa wazazi wanaowajibika tena kwa jembe la mkono huwa tunaona hatuwezi kuwalipa walichotufanyia.
Je; Kwa mzazi kufanya kitendo cha ubaguzi huo katika mgao kunamwondolea yeye kuwa mzazi wako na ww kuwa mtoto wake???Acha kunitisha mkuu. Mimi George wa mwaka 2015 na yule wa mwaka 2024 ni watu wawili tofauti kabisa.
Mzazi ana watoto 7. Anauza nyumba kisha anawabagua kwenye mgao. Watoto 4 anawapa, alafu 3 hawapi.
Huyo mzazi pesa imemuisha alafu unataka mimi nimsaidie??..
Inawezekana kweli sio mzazi wake maana kama mzazi wake kweli huwezi kuuza nyumba halafu ukagawa mgao ki makundi wengine wapate wengine wasipateJe; Kwa mzazi kufanya kitendo cha ubaguzi huo katika mgao kunamwondolea yeye kuwa mzazi wako na ww kuwa mtoto wake???
Ni kweli mtu wa 2015 na mtu huyo-huyo 2024 ni watu wawili tofauti kwa maana ya Umri, Hekima, Mang'amuzi (experiance &decision making) na Uzoefu(mapito mtu aliyopitia mema na mabaya). Kwa utofauti huo basi ninaamini George wa 2024 hawezi kufanya ujinga wa Gearge wa 2015.- Vinginevyo George wa 2024 atanekana ni kituko. Ndo mana watu wakaja na msemo ule "Penye wazee haliharibiki neno". kwa nini? "Wamekula chumvi nyingi"
Mie nilishakufa toka majuzi...hapa nasaka wakwenda nao tuu...hasa hawa watoro wa form 4 b na wale first year na second year chuo wapenda iphoneNamtumia salamu mzabzab ujumbe ukimwi unaua
We ni shetani uliyewanyonya wazazi wako na kujiona umejitengeneza kumbaff na ulaaniwe. Mie siyo mchovu kama unavyodhani mwanangu. Na watoto wangu, japo ni wakubwa kama wewe bado wananitegemea tuZwazwa wewe unaekaa bila kufanya kazai kama jinga Fulani hivi ukisubiri kulelewa na watoto
Fanya kazi mjinga wewe usitegemee watotoWe ni shetani uliyewanyonya wazazi wako na kujiona umejitengeneza kumbaff na ulaaniwe. Mie siyo mchovu kama unavyodhani mwanangu. Na watoto wangu, japo ni wakubwa kama wewe bado wananitegemea tu