Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Kama mzazi wako hajiwezi msaidie. Shida inakuja pale mzazi anapotaka umsaidie pesa ya kuongeza mke. Hapo sitoi hata 100
 
Kuna mabao mengine wazazi ilifaa wapige nyeto tu
Kwani kuna aliyetaka kuzaliwa.

Hao wazazi si walikuwa kwenye starehe zao za kunyanduana?

Sikiliza wewe hata wapumbavu huweza kuzaa watoto.

Na mtu kuwa "mzazi" si kigezo cha kwamba upumbavu wake huisha.

Mpumbavu ni mpumbavu tu, Hata awe mzazi bado atabaki mzazi mpumbavu.
 
Nyie si mnawaambiaga watoto kuwa "tafuta cha Kwako acha kutegemea urithi wa wazazi" na sisi tunawaambia na nyie wazazi wa hovyo "tafuteni vya kwenu, acheni kutegemea vya watoto"

Yaani unitelekeza alafu nikutunze, labda kama sio mimi George..
Wazazi wanapowaambia watoto" tafuta cha kwako acha kutegemea urithi wa wazazi" ni mbinu ya kutumia maneno makali kuwahamasisha watoto wapambane kujitafutia maisha bora sio kuwa legelege kwani maisha sio lelemama na haimaanishi kumtelekeza mtoto au kumtweza. Nikupe mfano: Hebu fikiria baba yako 1987 alinunua redio cassette detachable-double speakers. Leo 2024 bado anayo halafu akaamua kwa upendo kabisa akakupa kuwa ni zawadi yako siku ya Harusi yako say Aug 2025. Je; si utasema "huyu mzee naye bhana! Kitu ni outdated kabisa ndo ameona aniachie? Mfano mwingine: Zipo Computers zile za mwanzo kabisa zikiitwa kwa jina la Mackintosh. Inachukua zaidi ya robo saa "kuamka". Hapo vipi, ukiikuta nyumbani na ni kati ya baadhi ya mali za wazazi wako utajivunia ukipewa kama urithi? Mfano wa mwisho: Umezaliwa kwenye jamii zetu hizi za wafugaji na ukakuta kuna kundi la ng'ombe. Mzazi wako akaamua siku unatoka jando akakuzawadia ng'ombe wawili jike 1 na dume 1. Hao ng'ombe 2 ni mali yako kabisa na hivyo utawajibika kuwahudumia e.g. Uwapeleke malishoni, unatakiwa uwalipie chanjo, Uwapatie matibabu wakiugua, uwafatilie wakipotea au kuibiwa n.k. Je; Utasema umepewa zawadi (urithi)au umepewa adhabu? Kumbuka hapo sasa manake Shuleni huwezi kwenda kwani nani akuchungie ng'ombe wako n.k. n.k Je, si umerithi ya wazazi wako hata kuongea tu kiswahili ni shida? Ndo mana ya Tafuta cha kwako.......i.e. Changamka, Pambana........
 
Aisee ,unapiga kwenye mshono ,ngoja mazee ya kupenda Kitonga yake kuporomosha matusi ya nguoni
Kibaya zaidi hata mazee mengi Tanzania yana roho mbaya sana ,hayatoi support yoyote ya maana kwa vijana wao kuweza kusimama vizuri kiuchumi ila yanaenda kulelewa na hao vijana yakisha anza kulinda migongo na magoti kuoza ,akili za pimbi kabisa
 
Hapo sawa nimekupata mkuu. Na kwa vyovyote vile wazazi wapumbavu lazima wazae katoto kapumbavu. Yaani hata kawe kakubwa katakuwa kapumbavu tu
 
Wewe kama ulitelekezwa ba
Nyie si mnawaambiaga watoto kuwa "tafuta cha Kwako acha kutegemea urithi wa wazazi" na sisi tunawaambia na nyie wazazi wa hovyo "tafuteni vya kwenu, acheni kutegemea vya watoto"

Yaani unitelekeza alafu nikutunze, labda kama sio mimi George.
Wewe unahasira za kutelekezwa
 
Inawezekana kweli sio mzazi wake maana kama mzazi wake kweli huwezi kuuza nyumba halafu ukagawa mgao ki makundi wengine wapate wengine wasipate
Hilo nalo neno pia. Ila wapo wazazi kwa hekima zao wanweza kuona ukimpa huyu George mil 5 ni sawa na "umemuua"- huyo ni chapombee, ufuska, mgomvi sana na kubett. Lakini ukimpa huyu Peter hizo-hizo mil 5 "zitamfikisha" mbali- huyu ni mjasiriamali ila tu anakosa nguvu/mtaji. Kwa busara na upendo mkubwa kwa wote wawili, mzazi anamnyima George, anampa Peter.
 
Kwanini anatelekeza mtoto baada ya kumzaa?? Kwanini anabagua watoto?? Anampa huyu, anamnyima yule??
Hiyo ndo Tabia ya Mungu wa Mbinguni na hali kadhalika pia Mungu wa hapa duniani yaani Wazazi. Kwa hiyo hiyo ni Tabia ya Mungu.
 
KONDOM INGESAIDIA KUEPUSHA HUU UPUUZI

ONA SASA
 
Acha akili!
Kwaiyo ulitK amtegemee naniii

Kila mtu n ridhiki yake
Kuna watoto wananufaika na utajiri wa wazazi wao kwasababu walijipTa

Na kuna wazazi wananufaika na Utajiri wa watoto wao.

Kwaiyo ukijipata jua wanaonufIka n watu wako wa karibu
 
Kitendo Chako tu Cha kuleta hii mada huku "CONSCIOUS" yako inakusuta haupo sawa ..unatafuta sympathy ..pole sana.
Akae na Mama yake mzazi kwa kutulia, na atamwambia ukweli wote,na yeye ndiyo ataenda kumuomba Baba yake Mzazi msamaha!!
 
Ikumbukwe wazazi ambao hawakutimiza majukumu Kwa watoto ndiyo wazazi wakwanza kulalamika kuwa watoto wao wanawanyunda, wanasahau kwamba wao hawakutimiza majukumu yao, mzazi aliyetumiza wajibu wake Wala hanaga shida kabisa lakini hawa mm na huwa na maisha marefu ili wawasumbue watoto wao nakutoa laana za ajabu ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…