SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Akili ukiwa nazo wewe mbona inatosha sana mkuu..Nyie vijana WA miaka hii ambao mnajikuta mna fikra na mawazo ya kizungu ilihali mmezaliwa na kukulia humu humu kwenye nchi maskini za Dunia ya tatu, Huwa mna matatizo sana na hamna akili hata kidogo pamoja na kwamba shule mmeenda.
Mpaka Leo hujasahau tu, basi hata hujasemehe kabisa.Tunachoongelea hapa ni wazazi wanaochukua watoto wao kuna haja gani ya kunibeba miezi 9 alafu ukinizaa hutaki nifanikiwe. Nakumbuka kuna siku nikiwa na miaka 9 mama alikua anakula mwenyewe chumbani (chips kuku) ila mimi na bro ikabidi tukabangaize mtaani tukaja kupika ugali na dagaa mchele za 200. Hiyo siku sijaisahau mpaka leo, kwahiyo kutunza miezi 9 huku pengine hakupendi haina maana angetoa mimba tu
Funguka nini kilitokea mpaka ikawa hivyoNinamchukia sana mama yangu mzazi. I hate her so much. Nilitaka kufanya tukio la ajabu, sema basi tu Mungu akanizuia. Nina miezi 18 (mwaka na miezi 6) sijawasiliana naye..
Nimeandika sana humu katika comments mbalimbali..Funguka nini kilitokea mpaka ikawa hivyo
Baada ya kuwa umesha tekwa na huyo mchepuko wako au mke wako ndo umeamua kuharisha hivi? Unakuta watu wa sampuli yako wako busy kusaidia upande wa mke au wazazi wa wake zao kuliko wazazi wao. PatheticHuwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Q chilla aliimba, "si ulinizaa wewe ukanikataa, sasa iweje unaona mi nafaa"Baada ya kuwa umesha tekwa na huyo mchepuko wako au mke wako ndo umeamua kuharisha hivi? Unakuta watu wa sampuli yako wako busy kusaidia upande wa mke au wazazi wa wake zao kuliko wazazi wao. Pathetic
Na ungekua nazo za kutosha ungemuongezea na zingine, mi kuna kipindi nilisafiri nikasahu dola 3000 chumbani,kesho yako nampigia simu Bi mkubwa kuna pesa nimesahau ndani akasema kaziona,nikamwambia aniwekee, nilivyo rudi namuuliza mama pesa ziko wapi anaanza kunipa story kua kamsaidia kaka yake alikua kakamatwa na magendo huko police, basi nikanuna pale lakini baada ya siku kadhaa hasira zikaisha na maisha yakaendelea, Mzazi hata akilosea huwezi mfanya kitu according to our tamaduni!!Laiti kama ningekuwa tajiri nisingeidai pesa ile. Upo sahihi..
habari ya leo Be calmNimeshangaa,afu ni vitu tunaviacha hivi jamani, ubinafsi siyo kabisa
Unlike I, you are from a well-off family. Your pedigree can't be compared to mine. I'm a hustler, married to the streets, but you ain't.Na ungekua nazo za kutosha ungemuongezea na zingine, mi kuna kipindi nilisafiri nikasahu dola 3000 chumbani,kesho yako nampigia simu Bi mkubwa kuna pesa nimesahau ndani akasema kaziona,nikamwambia aniwekee, nilivyo rudi namuuliza mama pesa ziko wapi anaanza kunipa story kua kamsaidia kaka yake alikua kakamatwa na magendo huko police, basi nikanuna pale lakini baada ya siku kadhaa hasira zikaisha na maisha yakaendelea, Mzazi hata akilosea huwezi mfanya kitu according to our tamaduni!!
Njema kabisa,msinisalimie sana January hii nisijewasumbua uniformshabari ya leo Be calm
maswala ya uniforms yanazungumzika binti yangu wala aina shidaNjema kabisa,msinisalimie sana January hii nisijewasumbua uniforms
Haya bhanamaswala ya uniforms yanazungumzika binti yangu wala aina shida
heri ya mwaka mpya
Uchoyo si kitu chema,Sina mengiKama vitu tunaviacha yeye mzazi anavitaka vya nini
Kwanini wewe hakuna mambo ya shule ya msingi ambayo bado unayakumbuka?? Multiplication table??..Mpaka Leo hujasahau tu, basi hata hujasemehe kabisa.
Kama ni mzazi wa hovyo, Unajidanganya. Acha kutisha watu na imani za kijinga kama hizi..Yeye kazi yake kukukojoa Na Kukuleta Duniani Pambana usitafute wa Kumlaumu saidia Wazazu kadri uwezavyo Nikukumbushe Mafanikio yapo kwenye nyayo ya Mzazi
Yaani wazazi wa mwenzio ni bora kuliko wako, bora mke kuliko mamako. Dah, kweli watoto wa nje ya ndoa utawajua tu.Waliotoa comment wonte vizibo ni wajinga.maisha yako amua wewd kama wewe .me na watoto wananitegemea na mke na wakwe pia.wewe mzazi kunguru ujana wako uliutumia aje mpaka uje kua mzigo wa mavi kwangu.pumbafu kufa nikuzike usinipe stress
Acha mawazo ya kimaskini kama umepata mpe uvunje hiyo laana katika ukoo kumbuka baba yako unambagua kwa sababu alikutenga so laana yake ndio hiyo sasa watoto mnambagua kwa sababu aliwabagua kwaiyo na wewe wanao watakubagua kwa sababu mzazi wako ulimbagua so mtunze mzazi wako ili na wanao wakutunze vunja hiyo laana ya familia.Kwanini anatelekeza mtoto baada ya kumzaa?? Kwanini anabagua watoto?? Anampa huyu, anamnyima yule??