Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Nyie vijana WA miaka hii ambao mnajikuta mna fikra na mawazo ya kizungu ilihali mmezaliwa na kukulia humu humu kwenye nchi maskini za Dunia ya tatu, Huwa mna matatizo sana na hamna akili hata kidogo pamoja na kwamba shule mmeenda.
Akili ukiwa nazo wewe mbona inatosha sana mkuu..
 
Tunachoongelea hapa ni wazazi wanaochukua watoto wao kuna haja gani ya kunibeba miezi 9 alafu ukinizaa hutaki nifanikiwe. Nakumbuka kuna siku nikiwa na miaka 9 mama alikua anakula mwenyewe chumbani (chips kuku) ila mimi na bro ikabidi tukabangaize mtaani tukaja kupika ugali na dagaa mchele za 200. Hiyo siku sijaisahau mpaka leo, kwahiyo kutunza miezi 9 huku pengine hakupendi haina maana angetoa mimba tu
Mpaka Leo hujasahau tu, basi hata hujasemehe kabisa.
 
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Baada ya kuwa umesha tekwa na huyo mchepuko wako au mke wako ndo umeamua kuharisha hivi? Unakuta watu wa sampuli yako wako busy kusaidia upande wa mke au wazazi wa wake zao kuliko wazazi wao. Pathetic
 
Q chilla aliimba, "si ulinizaa wewe ukanikataa, sasa iweje unaona mi nafaa"
 
Laiti kama ningekuwa tajiri nisingeidai pesa ile. Upo sahihi..
Na ungekua nazo za kutosha ungemuongezea na zingine, mi kuna kipindi nilisafiri nikasahu dola 3000 chumbani,kesho yako nampigia simu Bi mkubwa kuna pesa nimesahau ndani akasema kaziona,nikamwambia aniwekee, nilivyo rudi namuuliza mama pesa ziko wapi anaanza kunipa story kua kamsaidia kaka yake alikua kakamatwa na magendo huko police, basi nikanuna pale lakini baada ya siku kadhaa hasira zikaisha na maisha yakaendelea, Mzazi hata akilosea huwezi mfanya kitu according to our tamaduni!!
 
Unlike I, you are from a well-off family. Your pedigree can't be compared to mine. I'm a hustler, married to the streets, but you ain't.

I'm sometimes forced to swallow my pride so I could get something for my stomach but wewe ni wakishua.

You and I are two people carrying different personalities my brother..
 
Yeye kazi yake kukukojoa Na Kukuleta Duniani Pambana usitafute wa Kumlaumu saidia Wazazu kadri uwezavyo Nikukumbushe Mafanikio yapo kwenye nyayo ya Mzazi
Kama ni mzazi wa hovyo, Unajidanganya. Acha kutisha watu na imani za kijinga kama hizi..
 
Urithi wa nini mkuu?! Mtu umejaaliwa wazazi wamekulea umekuwa, sasa unaanza ngonjera, Kisa umepata ka tsh mia au mbili.

Cha msingi ni wazazi,wamekuzaa na kukulea hakuna sababu lea.
 
Waliotoa comment wonte vizibo ni wajinga.maisha yako amua wewd kama wewe .me na watoto wananitegemea na mke na wakwe pia.wewe mzazi kunguru ujana wako uliutumia aje mpaka uje kua mzigo wa mavi kwangu.pumbafu kufa nikuzike usinipe stress
Yaani wazazi wa mwenzio ni bora kuliko wako, bora mke kuliko mamako. Dah, kweli watoto wa nje ya ndoa utawajua tu.
 
Kwanini anatelekeza mtoto baada ya kumzaa?? Kwanini anabagua watoto?? Anampa huyu, anamnyima yule??
Acha mawazo ya kimaskini kama umepata mpe uvunje hiyo laana katika ukoo kumbuka baba yako unambagua kwa sababu alikutenga so laana yake ndio hiyo sasa watoto mnambagua kwa sababu aliwabagua kwaiyo na wewe wanao watakubagua kwa sababu mzazi wako ulimbagua so mtunze mzazi wako ili na wanao wakutunze vunja hiyo laana ya familia.

Unaweza kulea wanao katika upendo wa hali ya juu na ukawapa kila kitu ukamini badae watakuwa kimbilio lako unashangaa watoto wanakua na kazi nzuri nk ila hawakupi hata mia na hata kwako hawaji au ndio ile wote wanakuwa mateja, Malaya yani kiufupi pamoja na elimu zao nk ila wanakuja poteana wanakuwa hawana muelekeo wa maisha wanakuwa bado mzigo kwako hiyo ni laana kutokana na mambo kama haya mnayofanya kupuuzia wazazi kisha waliwapuuzia so usifanye hivyo mleee mzee mpe anachotaka kama kipo hiyo ni baraka.kubwa sana katika uzao wako
 
Back
Top Bottom