The Coin Man
Senior Member
- Jan 2, 2025
- 156
- 167
ni kwa sababu alihangaika sana kipindi upo mdogo, ulimkojolea na kumnyyea mavi sana, alipoteza fursa nyingi sana kwa ajili yako, kwa kifupi, wewe hauna akili na hauna watoto, siku ukija kupata akili au watoto utapata ufahamu. au, ni toto fulani hivi lililelewa ndani kama ndondocha huko masaki au oysterbay, haujui shida, haujui dunia, unachojua ni hicho ulichoandika tu. Mungu akusaidie.Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Ndiyo maana namwambia maisha yako yakichanganya utakua fresh na hizi hasira ndogo ndogo zitakwisha,umasikini naujua vizuri sana maana hata mimi nimeuiishi sana,kuna kipindi nilikua siwezi hata kumuachia sh 50 konda wa daladala,leo hii naweza mlipia hata abiria mwenzangu nisiyemjua mradi amepungukiwa nauli! Hayo yote ni maisha na ipo siku yatapita na utayasahau yote unayopitia kwa sasa,just kua mvumilivu na utakula mbivu nakuambia!!Unlike I, you are from a well-off family. Your pedigree can't be compared to mine. I'm a hustler, married to the streets, but you ain't.
I'm sometimes forced to swallow my pride so I could get something for my stomach but wewe ni wakishua.
You and I are two people carrying different personalities my brother..
Atapewa na aliokuwa anawapa. FULL STOP.Acha mawazo ya kimaskini kama umepata mpe uvunje hiyo laana katika ukoo kumbuka baba yako unambagua kwa sababu alikutenga so laana yake ndio hiyo sasa watoto mnambagua kwa sababu aliwabagua kwaiyo na wewe wanao watakubagua kwa sababu mzazi wako ulimbagua so mtunze mzazi wako ili na wanao wakutunze vunja hiyo laana ya familia.
Unaweza kulea wanao katika upendo wa hali ya juu na ukawapa kila kitu ukamini badae watakuwa kimbilio lako unashangaa watoto wanakua na kazi nzuri nk ila hawakupi hata mia na hata kwako hawaji au ndio ile wote wanakuwa mateja, Malaya yani kiufupi pamoja na elimu zao nk ila wanakuja poteana wanakuwa hawana muelekeo wa maisha wanakuwa bado mzigo kwako hiyo ni laana kutokana na mambo kama haya mnayofanya kupuuzia wazazi kisha waliwapuuzia so usifanye hivyo mleee mzee mpe anachotaka kama kipo hiyo ni baraka.kubwa sana katika uzao wako
Thanks for wishing me well..Ndiyo maana namwambia maisha yako yakichanganya utakua fresh na hizi hasira ndogo ndogo zitakwisha,umasikini naujua vizuri sana maana hata mimi nimeuiishi sana,kuna kipindi nilikua siwezi hata kumuachia sh 50 konda wa daladala,leo hii naweza mlipia hata abiria mwenzangu nisiyemjua mradi amepungukiwa nauli! Hayo yote ni maisha na ipo siku yatapita na utayasahau yote unayopitia kwa sasa,just kua mvumilivu na utakula mbivu nakuambia!!
Irresponsible parents should always be kicked out the same way they did to us..Kuwasaidia wazazi ni wajibu wako
Vp kama mmoja wao alikutelekeza?? Utawalea wote??Urithi wa nini mkuu?! Mtu umejaaliwa wazazi wamekulea umekuwa, sasa unaanza ngonjera, Kisa umepata ka tsh mia au mbili.
Cha msingi ni wazazi,wamekuzaa na kukulea hakuna sababu lea.
Irresponsible mama ni takataka tu mkuu. Unaukumbuka ule wimbo wa Q chilla?? Ulinizaa wewe, ukanikataa??Yaani wazazi wa mwenzio ni bora kuliko wako, bora mke kuliko mamako. Dah, kweli watoto wa nje ya ndoa utawajua tu.
Mungu akuzidishie umeingea Kwa uchungu sanaBaba umeongea point mm mama yangu mxazi ananitesa sana katika maisha yake yote hakujenga nyumba ila baada ya kuona usumbufu mim8 nilipe kodi nae nimlipie ilibidi nijenge na hela niliitafuta kea shida mpaka wizi nilifanya nikajenga ndo anaishi hapo mpaka leo.ila sasa kila mwezi anataka mshaharaa
Nikipata nimpee tena anapanga yeye kama kaomba laki ukimpa sabini maneno yanaanza na kutishia kunilaani.nyumba anaishi ni jasho langu.mm nko mkoani nimepanga nateseka na
Wemye nyumba
Wazazi wa mke ni wa mke they are none of my bussiness sio lazima nwasaidie mtasaidia kilingna na uwezo wangu samesame kwa mzazi wanguYaani wazazi wa mwenzio ni bora kuliko wako, bora mke kuliko mamako. Dah, kweli watoto wa nje ya ndoa utawajua tu.
Follow for followback mkuuIrresponsible parents should always be kicked out the same way they did to us..
What do you mean by this??..Follow for followback mkuu
Aliwahi kuwaomba wamzae??..ni kwa sababu alihangaika sana kipindi upo mdogo, ulimkojolea na kumnyyea mavi sana, alipoteza fursa nyingi sana kwa ajili yako, kwa kifupi, wewe hauna akili na hauna watoto, siku ukija kupata akili au watoto utapata ufahamu. au, ni toto fulani hivi lililelewa ndani kama ndondocha huko masaki au oysterbay, haujui shida, haujui dunia, unachojua ni hicho ulichoandika tu. Mungu akusaidie.
Ukinisaidia, nitakusaidia.Hii thread imenikumbusha lile sakata la martha mapaja nasikia jamaa ndo amegoma kabisa kutoa msaada kwa mzazi .but kwangu mm ni sawa tu nakumbuka nilifel form 4 ikabid mzazi anitafutie shule ya kurist na bado nikafel baada ya hapobakaniambia utajua hujui niliona mzee ikaabid ni resit mwenyew ndo nikatoboa kwahiyo mimi kumsaidia mzaz sio tatizo japo hata form 6 ada nilijilipia mwenyew.so sometimes inabidi tukubali ukweli wazaz wet n wazaz wetu
inawezekana walimzaa kwa bahati mbaya tu ndio maana ana akili kama hiyo. na wewe pia.Aliwahi kuwaomba wamzae??..
Okay..inawezekana walimzaa kwa bahati mbaya tu ndio maana ana akili kama hiyo. na wewe pia.
Huna akili kabisaYeye kazi yake kukukojoa Na Kukuleta Duniani Pambana usitafute wa Kumlaumu saidia Wazazu kadri uwezavyo Nikukumbushe Mafanikio yapo kwenye nyayo ya Mzazi
Huna akili kabisa , pumbavuNyie vijana WA miaka hii ambao mnajikuta mna fikra na mawazo ya kizungu ilihali mmezaliwa na kukulia humu humu kwenye nchi maskini za Dunia ya tatu, Huwa mna matatizo sana na hamna akili hata kidogo pamoja na kwamba shule mmeenda.
Sio kila kitu duniani unatakiwa kuhangaika nacho vingine unaacha vikupite unahandle kama Mtu mzima sio kila kitu lazima kureact sasa kusaidia Wazazi wako unapungukiwa nini? nikukumbushe hiyo chuki inayokuwepo kwa mzazi mmoja imetengenezwa na Mzazi Mwenza Mtoto analishwa tuHuna akili kabisa
Huna akili kabisa , pumbavu
Pole Sana mkuuHuwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi