The Coin Man
Senior Member
- Jan 2, 2025
- 156
- 167
Hii thread imenikumbusha lile sakata la martha mapaja nasikia jamaa ndo amegoma kabisa kutoa msaada kwa mzazi .but kwangu mm ni sawa tu nakumbuka nilifel form 4 ikabid mzazi anitafutie shule ya kurist na bado nikafel baada ya hapobakaniambia utajua hujui niliona mzee ikaabid ni resit mwenyew ndo nikatoboa kwahiyo mimi kumsaidia mzaz sio tatizo japo hata form 6 ada nilijilipia mwenyew.so sometimes inabidi tukubali ukweli wazaz wet n wazaz wetu