Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Hii thread imenikumbusha lile sakata la martha mapaja nasikia jamaa ndo amegoma kabisa kutoa msaada kwa mzazi .but kwangu mm ni sawa tu nakumbuka nilifel form 4 ikabid mzazi anitafutie shule ya kurist na bado nikafel baada ya hapobakaniambia utajua hujui niliona mzee ikaabid ni resit mwenyew ndo nikatoboa kwahiyo mimi kumsaidia mzaz sio tatizo japo hata form 6 ada nilijilipia mwenyew.so sometimes inabidi tukubali ukweli wazaz wet n wazaz wetu
 
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
ni kwa sababu alihangaika sana kipindi upo mdogo, ulimkojolea na kumnyyea mavi sana, alipoteza fursa nyingi sana kwa ajili yako, kwa kifupi, wewe hauna akili na hauna watoto, siku ukija kupata akili au watoto utapata ufahamu. au, ni toto fulani hivi lililelewa ndani kama ndondocha huko masaki au oysterbay, haujui shida, haujui dunia, unachojua ni hicho ulichoandika tu. Mungu akusaidie.
 
Unlike I, you are from a well-off family. Your pedigree can't be compared to mine. I'm a hustler, married to the streets, but you ain't.

I'm sometimes forced to swallow my pride so I could get something for my stomach but wewe ni wakishua.

You and I are two people carrying different personalities my brother..
Ndiyo maana namwambia maisha yako yakichanganya utakua fresh na hizi hasira ndogo ndogo zitakwisha,umasikini naujua vizuri sana maana hata mimi nimeuiishi sana,kuna kipindi nilikua siwezi hata kumuachia sh 50 konda wa daladala,leo hii naweza mlipia hata abiria mwenzangu nisiyemjua mradi amepungukiwa nauli! Hayo yote ni maisha na ipo siku yatapita na utayasahau yote unayopitia kwa sasa,just kua mvumilivu na utakula mbivu nakuambia!!
 
Acha mawazo ya kimaskini kama umepata mpe uvunje hiyo laana katika ukoo kumbuka baba yako unambagua kwa sababu alikutenga so laana yake ndio hiyo sasa watoto mnambagua kwa sababu aliwabagua kwaiyo na wewe wanao watakubagua kwa sababu mzazi wako ulimbagua so mtunze mzazi wako ili na wanao wakutunze vunja hiyo laana ya familia.

Unaweza kulea wanao katika upendo wa hali ya juu na ukawapa kila kitu ukamini badae watakuwa kimbilio lako unashangaa watoto wanakua na kazi nzuri nk ila hawakupi hata mia na hata kwako hawaji au ndio ile wote wanakuwa mateja, Malaya yani kiufupi pamoja na elimu zao nk ila wanakuja poteana wanakuwa hawana muelekeo wa maisha wanakuwa bado mzigo kwako hiyo ni laana kutokana na mambo kama haya mnayofanya kupuuzia wazazi kisha waliwapuuzia so usifanye hivyo mleee mzee mpe anachotaka kama kipo hiyo ni baraka.kubwa sana katika uzao wako
Atapewa na aliokuwa anawapa. FULL STOP.

Mimi pia nitawapa (jamaa, marafiki, etc) waliokuwa wananipa..

That's not my law. It's the law of nature..
 
Ndiyo maana namwambia maisha yako yakichanganya utakua fresh na hizi hasira ndogo ndogo zitakwisha,umasikini naujua vizuri sana maana hata mimi nimeuiishi sana,kuna kipindi nilikua siwezi hata kumuachia sh 50 konda wa daladala,leo hii naweza mlipia hata abiria mwenzangu nisiyemjua mradi amepungukiwa nauli! Hayo yote ni maisha na ipo siku yatapita na utayasahau yote unayopitia kwa sasa,just kua mvumilivu na utakula mbivu nakuambia!!
Thanks for wishing me well..
 
Urithi wa nini mkuu?! Mtu umejaaliwa wazazi wamekulea umekuwa, sasa unaanza ngonjera, Kisa umepata ka tsh mia au mbili.

Cha msingi ni wazazi,wamekuzaa na kukulea hakuna sababu lea.
Vp kama mmoja wao alikutelekeza?? Utawalea wote??
 
Yaani wazazi wa mwenzio ni bora kuliko wako, bora mke kuliko mamako. Dah, kweli watoto wa nje ya ndoa utawajua tu.
Irresponsible mama ni takataka tu mkuu. Unaukumbuka ule wimbo wa Q chilla?? Ulinizaa wewe, ukanikataa??
 
Baba umeongea point mm mama yangu mxazi ananitesa sana katika maisha yake yote hakujenga nyumba ila baada ya kuona usumbufu mim8 nilipe kodi nae nimlipie ilibidi nijenge na hela niliitafuta kea shida mpaka wizi nilifanya nikajenga ndo anaishi hapo mpaka leo.ila sasa kila mwezi anataka mshaharaa
Nikipata nimpee tena anapanga yeye kama kaomba laki ukimpa sabini maneno yanaanza na kutishia kunilaani.nyumba anaishi ni jasho langu.mm nko mkoani nimepanga nateseka na
Wemye nyumba
Mungu akuzidishie umeingea Kwa uchungu sana
 
Yaani wazazi wa mwenzio ni bora kuliko wako, bora mke kuliko mamako. Dah, kweli watoto wa nje ya ndoa utawajua tu.
Wazazi wa mke ni wa mke they are none of my bussiness sio lazima nwasaidie mtasaidia kilingna na uwezo wangu samesame kwa mzazi wangu
 
ni kwa sababu alihangaika sana kipindi upo mdogo, ulimkojolea na kumnyyea mavi sana, alipoteza fursa nyingi sana kwa ajili yako, kwa kifupi, wewe hauna akili na hauna watoto, siku ukija kupata akili au watoto utapata ufahamu. au, ni toto fulani hivi lililelewa ndani kama ndondocha huko masaki au oysterbay, haujui shida, haujui dunia, unachojua ni hicho ulichoandika tu. Mungu akusaidie.
Aliwahi kuwaomba wamzae??..
 
Hii thread imenikumbusha lile sakata la martha mapaja nasikia jamaa ndo amegoma kabisa kutoa msaada kwa mzazi .but kwangu mm ni sawa tu nakumbuka nilifel form 4 ikabid mzazi anitafutie shule ya kurist na bado nikafel baada ya hapobakaniambia utajua hujui niliona mzee ikaabid ni resit mwenyew ndo nikatoboa kwahiyo mimi kumsaidia mzaz sio tatizo japo hata form 6 ada nilijilipia mwenyew.so sometimes inabidi tukubali ukweli wazaz wet n wazaz wetu
Ukinisaidia, nitakusaidia.

Haunisaidii, sitakusaidia.

FULL STOP..
 
Yeye kazi yake kukukojoa Na Kukuleta Duniani Pambana usitafute wa Kumlaumu saidia Wazazu kadri uwezavyo Nikukumbushe Mafanikio yapo kwenye nyayo ya Mzazi
Huna akili kabisa
Nyie vijana WA miaka hii ambao mnajikuta mna fikra na mawazo ya kizungu ilihali mmezaliwa na kukulia humu humu kwenye nchi maskini za Dunia ya tatu, Huwa mna matatizo sana na hamna akili hata kidogo pamoja na kwamba shule mmeenda.
Huna akili kabisa , pumbavu
 
Mazazi mengine ni mbwa tu , takataka kabisa mpaka unawish kuzaliwa upya familia nyingine yenye wazazi wenye utu na akili timamu
 
Huna akili kabisa
Huna akili kabisa , pumbavu
Sio kila kitu duniani unatakiwa kuhangaika nacho vingine unaacha vikupite unahandle kama Mtu mzima sio kila kitu lazima kureact sasa kusaidia Wazazi wako unapungukiwa nini? nikukumbushe hiyo chuki inayokuwepo kwa mzazi mmoja imetengenezwa na Mzazi Mwenza Mtoto analishwa tu
 
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Pole Sana mkuu
 
Back
Top Bottom