SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Hauwezi ukamtukana na kumdhalilisha mtoto ati ndio kutoa chachu.Unakumbuka akiwa na Umri Gani Huyo Mtoto aliyeambiwa atafute chake asitegemee urithi?
Tayari ameisha maliza masomo, ana degree,,,,,ila Bado anazurura home.
Anakula, analala Hadi saa sita mchana.
Ajira hakuna ila hata Ubunifu huna🙄
Hapo ndipo mzazi Huja na maneno ya kutoa chachu ili kuamsha Akili za kijana au Binti.
Nanukuu: "..........walifanya ujinga wao kunileta duniani......" Mkuu; Mbona unajilaani mwenyewe? Hiyo kauli 👆 👆 ingefaa uirekebishe walau usije kuamsha hasira za Muumba wetu sote dhidi yako. Kumbuka na uzingatie kwamba Kitendo walichofanya ni Kitendo kitakatifu mno. Hakipaswi kukejeliwa eti ni Ujinga. Ni sawa na kumwambia Mungu (kama una Imani) alifanya ujinga alipowaumba Adam na Eva (Binadamu) na akawaweka bustanini Eden. Ni Mungu huyo huyo aliwapa hao binadamu wawili (Me na Ke) wa kwanza kazi hiyo ya kuumba binadamu wengine kwa niaba yake. Mbona unakufuru aisee?Ingekua vizuri zaidi maana duniani ni mateso tu mwisho wa siku kidogo ila wao walifanya ujinga wao kunileta duniani Kuna kuteseka
Jinga sana wewe hasira za muumba niziamshe Mimi kwanini wasiziamshe wao kuleta kiumbe na kukitesa halafu unasema kazi waliyoifanya ni takatifu kwahiyo kutesa kiumbe na baadae kukinyonya kwako ni kazi takatifu shenzi sana weweNanukuu: "..........walifanya ujinga wao kunileta duniani......" Mkuu; Mbona unajilaani mwenyewe? Hiyo kauli 👆 👆 ingefaa uirekebishe walau usije kuamsha hasira za Muumba wetu sote dhidi yako. Kumbuka na uzingatie kwamba Kitendo walichofanya ni Kitendo kitakatifu mno. Hakipaswi kukejeliwa eti ni Ujinga. Ni sawa na kumwambia Mungu (kama una Imani) alifanya ujinga alipowaumba Adam na Eva (Binadamu) na akawaweka bustanini Eden. Ni Mungu huyo huyo aliwapa hao binadamu wawili (Me na Ke) wa kwanza kazi hiyo ya kuumba binadamu wengine kwa niaba yake. Mbona unakufuru aisee?
We're not here condemning responsible parents, you need to get that straight first. Tupo hapa kulaani wazazi wanaotelekeza watoto wao..Upandacho ndicho utavuna.
Ukijiona una nguvu usifikiri utakuwa nazo siku zote, kuwa mnyenyekevu.
Hata watu baki husaidiwa, unaachaje kumsaidia mzazi wako kama ana uhitaji?!!!
Ndugu yangu.....kwa concern ndogo unayoonesha wazazi wako nina uhakika kwa asilimia fulani hawajakutendea haki; chuki uliyoibeba moyoni inakutafuna kama vile inavyowatafunaNitimize majukumu Mimi ndio nimewazaa
Mkuu, acha kumtisha mwenzako kwa imani vya hovyo. Mzazi wa hovyo ni lazima atukanwe. Hatulei maradhi sisi..Nanukuu: "..........walifanya ujinga wao kunileta duniani......" Mkuu; Mbona unajilaani mwenyewe? Hiyo kauli 👆 👆 ingefaa uirekebishe walau usije kuamsha hasira za Muumba wetu sote dhidi yako. Kumbuka na uzingatie kwamba Kitendo walichofanya ni Kitendo kitakatifu mno. Hakipaswi kukejeliwa eti ni Ujinga. Ni sawa na kumwambia Mungu (kama una Imani) alifanya ujinga alipowaumba Adam na Eva (Binadamu) na akawaweka bustanini Eden. Ni Mungu huyo huyo aliwapa hao binadamu wawili (Me na Ke) wa kwanza kazi hiyo ya kuumba binadamu wengine kwa niaba yake. Mbona unakufuru aisee?
Watoto wa siku hizi kwa kweli wametindikiwa na akili mno na kupungukiwa na maarifa.Wanadhani kumtunza mzazi ni kumpelekea fedha, kumpelekea mavazi, kumpelekea chakula n.k. Hawajui kumbe hata kwenda tu nyumbani pale alipo i.e. kumtembelea kwenda kumsalimu na kuongea/kuchat naye na kufanya naye viutani-utani vya zamani inatosha mno na kunamliwaza sana mzazi na kumwondolea Upweke na Masononeko. Je, hilo nalo linahitaji eti ni mpaka uachiwe urithi? Itoshe tu kusema Laana zingine watoto wa cku hizi wanajitafutia wenyewe tena kwa gharama kubwa.Kweli kuzaa sio kupata.
Mitoto ya siku hizi inataka kutunza mzazi ni mpaka aachiwe urithi walau wa mbuzi.
Ninamchukia sana mama yangu mzazi. I hate her so much. Nilitaka kufanya tukio la ajabu, sema basi tu Mungu akanizuia. Nina miezi 18 (mwaka na miezi 6) sijawasiliana naye..Ndugu yangu.....kwa concern ndogo unayoonesha wazazi wako nina uhakika kwa asilimia fulani hawajakutendea haki; chuki uliyoibeba moyoni inakutafuna kama vile inavyowatafuna
ANZA kushare ya moyoni na hiyo mzazi wako na utastaajabu atakayofunguka
Yeye mtoto mbona kanyonya damu ya mother wakati yupo tumboni? Au baba alikuwa mjinga wakati unalia usiku unataka nyonyo la mama, angalikupiga Kofi 1 ukaangukia ukatafuta usingiziFanya kazi acha kupenda Ganda la ndizi kusubiri watoto wajipate uende kuwanyonya we mzee jinga sana
Mtendee wema aliyekutendea wema. Ukisema umtendee wema kila mtu (hata wale waliokutendea ubaya) wewe utabaki na nini mkuu??..Mithali 30:11 Kuna kizazi cha watu wamlaanio baba yao; Wala hawambariki mama yao.
2 Wakorintho 12:14 Tazama, hii ni mara ya tatu ya mimi kuwa tayari kuja kwenu, wala sitawalemea. Maana sivitafuti vitu vyenu, bali nawatafuta ninyi; maana haiwapasi watoto kuweka akiba kwa wazazi, bali wazazi kwa watoto.
Sidhani kama ni jambo jema kutomsaidia mzazi wako kisa yeye hakuwa msaada wowote kwako. Pili ni vyema kuelendela kukumbushana kuhusu kuwaandalia vijana maisha yao ya baadaye, sijui kuna wimbi gani linapita saivi ila naona vijana wengi wanazaa (hovyo hovyo) kumladhi kama nimekosea ndiyo baadae tunatengeneza vijana wa hovyo ingawa sio wote.
Mazingira utakayoyajenga kwa mtoto leo hii ndivyo atakavyo ku treat 30 years to come. Trust me..Watoto wa siku hizi kwa kweli wametindikiwa na akili mno na kupungukiwa na maarifa.Wanadhani kumtunza mzazi ni kumpelekea fedha, kumpelekea mavazi, kumpelekea chakula n.k. Hawajui kumbe hata kwenda tu nyumbani pale alipo i.e. kumtembelea kwenda kumsalimu na kuongea/kuchat naye na kufanya naye viutani-utani vya zamani inatosha mno na kunamliwaza sana mzazi na kumwondolea Upweke na Masononeko. Je, hilo nalo linahitaji eti ni mpaka uachiwe urithi? Itoshe tu kusema Laana zingine watoto wa cku hizi wanajitafutia wenyewe tena kwa gharama kubwa.
Huyo mtoto yeye aliomba kukaa huko tumboni?? Huyo mtoto aliomba kuzaliwa??Yeye mtoto mbona kanyonya damu ya mother wakati yupo tumboni? Au baba alikuwa mjinga wakati unalia usiku unataka nyonyo la mama, angalikupiga Kofi 1 ukaangukia ukatafuta usingizi
Si kila mtu nitamtendea wema.Mtendee wema aliyekutendea wema. Ukisema umtendee wema kila mtu (hata wale waliokutendea ubaya) wewe utabaki na nini mkuu??..
Sio kila mzazi ni mzazi wa maana.Yaani dunia inashangaza sana , nina mshkaji ana hela ndefu sana , ila jamaa huwa ana huzuni kwa kuwa hana mzazi yeyote wa kumpigia simu walau amwitishe hela , wote walifariki jamaa tukitafuta maisha hapo nyuma.
Alafu kuna ww wako unawaona hawafai . daaaahhh maisha haya
SIPENDI SIASA. SIPENDI WAZAZI WA HOVYO..Si kila mtu nitamtendea wema.
You look as one of those irresponsible parents..Hizo ni hasira za kulelewa kikekike ..... Nakuelewa sana mama..... Mwanaume hawezi kuwa na kinyongo kama Chako... Unless umepumbazwa na mama yako ....
Basi jitahidi na wewe usiwe wa hovyo kwa watoto wako. Ila samehe na kusahau tu.SIPENDI SIASA. SIPENDI WAZAZI WA HOVYO..
Sawa mkuu..Basi jitahidi na wewe usiwe wa hovyo kwa watoto wako.