SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Hauwezi ukamtukana na kumdhalilisha mtoto ati ndio kutoa chachu.Unakumbuka akiwa na Umri Gani Huyo Mtoto aliyeambiwa atafute chake asitegemee urithi?
Tayari ameisha maliza masomo, ana degree,,,,,ila Bado anazurura home.
Anakula, analala Hadi saa sita mchana.
Ajira hakuna ila hata Ubunifu huna🙄
Hapo ndipo mzazi Huja na maneno ya kutoa chachu ili kuamsha Akili za kijana au Binti.
Tafuta Mali yako Mzee wewe acha kutegemea Mali za watoto..