Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Yalikuwepo zama hizo yakapita, kisha yakaja na mengine nayo pia yakapita. Kwa hiyo hata haya ya sasa yatapita tuu. Tuombe kwamba yatakayokuja yawe ni yenye Kheri na Faraja kwetu.
Kwa viongozi hawa hawa?? Sidhani kama kutakuja kuwa na changes zozote zile aisee..
 
MZAZI NI MZAZI TU NA NI MUNGU WAKO WA HAPA DUNIANI.
Mungu? Nadhani kuna wazazi tofauti mimi mama yangu alikua hataki hata nilipiwe ada anakataa kabisa mzee akiwa anatoa. Cha ajabu sahivi ndio kila siku ananipiga vizinga vya hela. Niseme tu kuna wazazi na kuna waliotuzaa kutimiza wajibu. Maana mimi nikisikia mtu anasema "Nani kama Mama" nabaki namshangaa tu.
 
Dah! Pole kwa yaliyokukuta na yanayoendelea sasa. Hapo ndo uone maajabu ya msemo huo "Nani kama Mama"
1. Mama anathubutu kukataa mwanaye aliyemzaa kwa uchungu mwingi eti asilipiwe ada i.e. asiende kupata elimu. Inatisha. Katika hali ya kawaida hakuna mama atakayefanya hivyo. Lakini Mama huyo ameweza na amefanya. i.e. "Nani kama Mama" Utabaki mdomo wazi unashangaa.
2. Mama huyo huyo hapo na. 1, bila aibu wala hofu anapiga vizinga vya hela. Hiyo ni hela ambayo kimsingi imetokana na kile alichokuwa anakatazia. Katika hali ya kawida, mtu atakuwa na kigugumizi namna ya kujipendekeza au kula matunda yatokanayo na alichokikataa awali i.e. aliyofanya zamani - ni sawa na kuvuna shamba ambalo hakulima, kuotesha na kupalilia. Hiyo ni aina fulani ya Dhuluma. "Nani kama mama" Mama huyo ameweza.
Mwisho: Msemo huo hutumika kuhamasisha jamii yenye waMama wengi ili wakubali na waweze kushiriki katika maendeleo. Vinginevyo watakushangaza kwani wanao uthubutu wa ajabu sana.
 
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Ni wazazi wapuuzi tu ndo Wana mentality ya kutegemea watoto wao ili Hali ni wazima wa afya
 
Kitendo cha kusababisha uzaliwe ni mchango mkubwa sana kwako. Vinginevyo wangetoa mimba au dingi angemwaga nje usingekuwa hapa ukiropoka
 
Mujinga ww malaya unao wapa hela walikuzaa au kukulea
Kama Huna baba mtoto wa kahaba Acha wenye wazazi wawa,tunze kutoa ni moyo si utajiri
 
Kitendo cha kusababisha uzaliwe ni mchango mkubwa sana kwako. Vinginevyo wangetoa mimba au dingi angemwaga nje usingekuwa hapa ukiropoka
Kwani kuzaliwa ni faida?

Na usingezaliwa kungekuwa na hasara gani?
 
Dah! Pole kwa yaliyokukuta na yanayoendelea sasa. Hapo ndo uone maajabu ya msemo huo "Nani kama Mama"
1. Mama anathubutu kukataa mwanaye aliyemzaa kwa uchungu mwingi eti asilipiwe ada i.e. asiende kupata elimu. Inatisha. Katika hali ya kawaida hakuna mama atakayefanya hivyo. Lakini Mama huyo ameweza na amefanya. i.e. "Nani kama Mama" Utabaki mdomo wazi unashangaa.
2. Mama huyo huyo hapo na. 1, bila aibu wala hofu anapiga vizinga vya hela. Hiyo ni hela ambayo kimsingi imetokana na kile alichokuwa anakatazia. Katika hali ya kawida, mtu atakuwa na kigugumizi namna ya kujipendekeza au kula matunda yatokanayo na alichokikataa awali i.e. aliyofanya zamani - ni sawa na kuvuna shamba ambalo hakulima, kuotesha na kupalilia. Hiyo ni aina fulani ya Dhuluma. "Nani kama mama" Mama huyo ameweza.
Mwisho: Msemo huo hutumika kuhamasisha jamii yenye waMama wengi ili wakubali na waweze kushiriki katika maendeleo. Vinginevyo watakushangaza kwani wanao uthubutu wa ajabu sana.
Umeona sasa huo ushuhuda wa zitto junior ??
 
Mungu? Nadhani kuna wazazi tofauti mimi mama yangu alikua hataki hata nilipiwe ada anakataa kabisa mzee akiwa anatoa. Cha ajabu sahivi ndio kila siku ananipiga vizinga vya hela. Niseme tu kuna wazazi na kuna waliotuzaa kutimiza wajibu. Maana mimi nikisikia mtu anasema "Nani kama Mama" nabaki namshangaa tu.
Daah, pole sana mwamba. Vp akiomba hela zako unampa??

Gunner Shooter umeisoma hii mkuu??..
 
Mungu? Nadhani kuna wazazi tofauti mimi mama yangu alikua hataki hata nilipiwe ada anakataa kabisa mzee akiwa anatoa. Cha ajabu sahivi ndio kila siku ananipiga vizinga vya hela. Niseme tu kuna wazazi na kuna waliotuzaa kutimiza wajibu. Maana mimi nikisikia mtu anasema "Nani kama Mama" nabaki namshangaa tu.
Upo kama mimi.

Yaani mimi silipendi.
 
Kitendo cha kusababisha uzaliwe ni mchango mkubwa sana kwako. Vinginevyo wangetoa mimba au dingi angemwaga nje usingekuwa hapa ukiropoka

Kwani tulikubaliana wanizae?? Au niliwaomba wanizae??

Mzazi ambaye hajamuwezesha mwanae huyo ni mpuuzi tu na hatakiwi kuomba msaada kwa mwanae.

Unakuta limzazi halijamuwezesha mtoto, halina hata chochote cha kumrithisha mtoto wake. Mbaya zaidi hata kukaa na mwanae ili kumpa usia namna dunia inaenda halifanyi hivyo. Matokeo yake mtoto anaingia kichwa kichwa kwenye mapambano anakuja kusaidiwa na watu baki kabisa.

Nyie wazazi msiowawezesha watoto wenu japo kwa usia tu nyie ni wapuuzi manina zenu
 
Mungu? Nadhani kuna wazazi tofauti mimi mama yangu alikua hataki hata nilipiwe ada anakataa kabisa mzee akiwa anatoa. Cha ajabu sahivi ndio kila siku ananipiga vizinga vya hela. Niseme tu kuna wazazi na kuna waliotuzaa kutimiza wajibu. Maana mimi nikisikia mtu anasema "Nani kama Mama" nabaki namshangaa tu.
Yanajulikana. Mzazi ni mtu pekee anastahili msamaha kwa asilimia zote (100%) bila yeye usingekuwepo. Hesabu kama ni makosa tu, yeye pia ni binadamu, msamehe na umsaidie kwa hali na mali. Maumivu tuliumbiwa wanaume. MSAMEHE MAMA YAKO NA UMSAIDIE TU! HATA MBINGU ZINAFUNGUKA MARADUFU NA RIZQ ZINAKUNYESHEA. SOTE TUNA HISTORIA ZA MAUMIVU HUKO NYUMA ILA KAMA WANAMUME TUMEKUBALI KUCHECHEMEA NA KUSONGA MBELE.
 
Yeah. Ni kweli na inawezekana alifanya hivyo kwa kutokujua i.e. Ujinga. Usilipe ovu kwa ovu.
 
Back
Top Bottom