Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

Nmekaa na kalamu na karatasi nitaifanya kazi hii wiki nzima, kisha nitaanza na nitaleta mrejesho baada ya miezi mitatu, nikijaaliwa
Ukijitahidi ndani ya mwezi mmoja bila kukosea tayari umeweza na utaendelea bila tatizo

Kuna mtu anasema jambo lolote unaloona ni gumu sana kwako basi jizoeshe kwa kujilazimisha siku 40 mfululizo baada ya hapo mwili na akili vitaadapt naturally
 
Nimeweka nia ya dhati kabisa nitafanya, nitaweza 🤞
 
Back
Top Bottom