Mhm mashikolo mageni hapa nimambilia maziwa tuu😂😂😂
Yogurts
Oats
Maziwa
Matunda
Cerelac
Nuts
Na hii ni daily watoto wanne ..
Mhm mashikolo mageni hapa nimambilia maziwa tuu😂😂😂
Yogurts
Oats
Maziwa
Matunda
Cerelac
Nuts
Na hii ni daily watoto wanne ..
Mimi nilikuwa naona ni ngumu sana kuandika kila matumizi pia, lakini sasa hivi natumia tu app ya Airtel Money. Kila mwisho wa mwezi inanipa breakdown safi ya kila kitu nilichotumia. Na kwa sababu karibu kila malipo yangu yapo hapo, inanisaidia sana kujipanga bila stress ya kuandika kila kitu manually kwenye notebook.Hili suala wanaweza sana jamii za Asia,
Wajapan, Wachina hata Wahindi.
Watoto wanaanza kufundishwa kubajeti tokea wameanza shule.
Kuna Mjapan nilikutana naye kila atakacholipia kwa fedha anakiandika kwenye notebook.
Mwisho wa mwezi anapiga mahesabu amenunua vitu gani na ametumia sh ngapi.
Hii inamsaidia kufahamu vitu anavyotumia sana na pia inamsaidia kupunguza vitu visivyo vya msingi.
Ili kufanikisha hili mtu anatakiwa awe anaandika chini kila anachonunua au kulipia hela kila mwisho wa mwezi anapitia hii itasaidia kujua matumizi yako kwa mwezi, kufahamu gharama za matumizi ya lazima na pia itasaidia kujua matumizi yasiyo ya lazima na hivyo kuwezesha kufanya adjustment.
Nilishajaribu kufanyaga hivyo nilipokuwa mwanafunzi wa chuo kikuu nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana
Ila kwa sasa siwezi mambo yamekuwa mengi mara mambo ya ujenzi, mara mpangaji (nina vijiapartment) anakupigia simu kuna tatizo kwenye nyumba,, mara kulima mara upo bored unaamua tu kwenda bar kunywa,mara anaibuka mtu wako wa karibu anakuomba msaada.
Kwa kweli kubajeti matumizi inakuwa shida mtu unaishi jinsi siku inavyokuja na jinsi mfuko unavyoruhusu
Handle gani anatumia nikamcheki wifi sasa wife yuko wap na ulikua hujui anatumiaje hela yake jamaniHayuko huyo mke Iła kuna katoto fulani insta nikikiona nipo tayari kuwaibia watanzania wanisamehe tu kwa jinsi yule binti anavyorembua macho Hakuna namna kodi yao lazima iliwe tu.
👋
Hiyo app inarekodi malipo tu? Au ni kila kitu hata ukinunua apple punch inaandika??Mimi nilikuwa naona ni ngumu sana kuandika kila matumizi pia, lakini sasa hivi natumia tu app ya Airtel Money. Kila mwisho wa mwezi inanipa breakdown safi ya kila kitu nilichotumia. Na kwa sababu karibu kila malipo yangu yapo hapo, inanisaidia sana kujipanga bila stress ya kuandika kila kitu manually kwenye notebook.
Duh watu mna high good lifeBut yes inawezekana
fanya kwa week to week
150k ya chakula
120k ya usafiri
20 ya bando
30k ya others
then next week hivo hivo usiplay below that.
😆😆😆😆 awap ningeeka buku tano tano kumi kumi wangeguna sana si unajua jF kila mtu tajiri 😁😁Duh watu mna high good life
Watu wana maisha sana humuMhm wiki 320k😲😲😲
Nimecheka 😆.. Mbona nyauyani nyau kama nyie mnakuwaga na maisha ya hovyooooooooo katika uhalisia!
Huku mitandaoni ndo mnakojijaza personalities zote mnazotamani mngekuwa!
Sasa wewe si una ngozi inakubali mafuta ya mgando shukuru MunguNielekeze ili nami nianze kutumia jamani
Amani mkuuNimeshamwomba msamaha mkuu.
Kama wewe nizee.mbusu klabu sahahu budget ni mwendo wa kumoka. Siku zote kumoka hakuna budget ni sawa na kuvuta sigaraMa bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.
Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.
Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???
Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa 😢
Natanguliza shukrani.
Ana bahati kwakweli akomae na vaseline 😂Sasa wewe si una ngozi inakubali mafuta ya mgando shukuru Mungu
Sana ....lakini kwakua ni Mbeya haina noma .akihamia dar atajiona mamajusi😉 kuna ngozi zandar na za mikoan😉Ana bahati kwakweli akomae na vaseline 😂
Onho,nikajua na skin care tena.... Vaseline inanitosha kabisaSasa wewe si una ngozi inakubali mafuta ya mgando shukuru Mungu
Nmekaa na kalamu na karatasi nitaifanya kazi hii wiki nzima, kisha nitaanza na nitaleta mrejesho baada ya miezi mitatu, nikijaaliwaMiaka miwili ya mwanzo baada ya kuajiriwa nilikuwa naishi kwa bajeti ilikuwa raha sana. Tena bajeti yangu ilikuwa zaidi ya swali lako maana nilikuwa na bajeti mpaka ya matumizi ya muda kwa siku na matukio muhimu yote ya siku jioni nayadhibiti kwenye diary. Siku hizi kilichonikumba sijui ni kisurisuri gani aisee haiwezekani kabisa kila ninavyojitahidi
Chochote,maana sipendi kutumia cash kwaiyo hata nikinunua apple punch itakuwa recorded piaHiyo app inarekodi malipo tu? Au ni kila kitu hata ukinunua apple punch inaandika??
Bro hata ka-scrub tu ka kawaida haujifanyii??Onho,nikajua na skin care tena.... Vaseline inanitosha kabisa
Huko hakuna cha kojic soap wala cha face maskOnho,nikajua na skin care tena.... Vaseline inanitosha kabisa