Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

Nashukuru mikoani hatuna bajeti.
Unga ukiisha naingia store nachukua debe moja naenda kusaga maisha yanaendelea,
muda huu kijani kubichi, watu wako bize kuchuma mboga za majani na kuzikausha ili zitumike wakati wa kiangazi,

Nguo mpya ni mpaka Christmas tukijaaliwa 🐒
Jimboni kwako au sio
 
Inategemea nna nyakati mbili, nyakati za kazi naamka saa kumi na moja na nusu sometimes kumi na nusu nafanya vitu vyangu vya kupata kipato, kisha kupeleka watoto shule na kwenda kazini.
Likizo time naamka kumi na mbili na nusu hadi saa moja naenda kijiweni.

Ratiba inaathiri bajeti????
Kumbe una watoto...aisee wee huna shida ya budget utatesa watoto. Kama una kipato chini ya mil3 wala usiwe na budget wee kula vizuri na watoto wako
 
Eva inaelekea umeajiriwa, tafuta hela za pembeni usijistress san

eva unajilipia vyote hivo hauna sponsa
Hela hazitoshi aseee 😢

Kabla ya kuwaza nipige tafu lazma nawe ujijue una nini, hata Mungu alimuuliza Musa una nini mkononi, nae akajibu nina fimbo.....😁
 
Kuishi kwa bajeti inawezekana kabisa,japo ni lazima uelewe bajeti ni
nidhamu binafsi,na kwa kuwa ndio unataka kuanza basi kubali kuwa utapitia vishawishi vingi vya kuvunja bajeti na utakuwa unaivunja hiyo bajeti yako ila usijali,ndivyo utakavyoanza.Sasa fanya hivi:
1.Tengeneza bajeti yako ya kila mwezi na uweke dharura ya 20%
2.Pesa zako zote ziwe benki na uwe unatoa pesa kwa matumizi ya wiki kwa wiki tu
3.Nunua mahitaji yako ya wiki nzima na ubakie na cash labda ya nauli kwenda na kurudi toka kazini au pesa ya mafuta kama una gari
4.Stick kwa hiyo bajeti but in case utaiviolate,angalia by percentage ya kuiviolate on a weekly basis,usiogope maana kuishi underbudget ni utamaduni,endelea hivyo hivyo na itakuchukua miezi 6 mpaka 8 ndipo utaweza kabisa,na usikaye tamaa kabisa.Jaribu sasa
Hii ya weekely nadhani ni nzuri kwa kuanzia, thanks......
 
Hili suala wanaweza sana jamii za Asia,
Wajapan, Wachina hata Wahindi.
Watoto wanaanza kufundishwa kubajeti tokea wameanza shule.
Kuna Mjapan nilikutana naye kila atakacholipia kwa fedha anakiandika kwenye notebook.
Mwisho wa mwezi anapiga mahesabu amenunua vitu gani na ametumia sh ngapi.
Hii inamsaidia kufahamu vitu anavyotumia sana na pia inamsaidia kupunguza vitu visivyo vya msingi.
Ili kufanikisha hili mtu anatakiwa awe anaandika chini kila anachonunua au kulipia hela kila mwisho wa mwezi anapitia hii itasaidia kujua matumizi yako kwa mwezi, kufahamu gharama za matumizi ya lazima na pia itasaidia kujua matumizi yasiyo ya lazima na hivyo kuwezesha kufanya adjustment.
Nilishajaribu kufanyaga hivyo nilipokuwa mwanafunzi wa chuo kikuu nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana
Ila kwa sasa siwezi mambo yamekuwa mengi mara mambo ya ujenzi, mara mpangaji (nina vijiapartment) anakupigia simu kuna tatizo kwenye nyumba,, mara kulima mara upo bored unaamua tu kwenda bar kunywa,mara anaibuka mtu wako wa karibu anakuomba msaada.
Kwa kweli kubajeti matumizi inakuwa shida mtu unaishi jinsi siku inavyokuja na jinsi mfuko unavyoruhusu
 
Mataahira wengi humu ndani.

Mtoto wa kike kwenye ndoa sahihi na mwamaume sahihi hizo sio shida zako.

Tafuteni wanaume wa maana watoto wa kike hayo sio malalamiko yenu.

Hayo ni malalamiko ya mwanamke asiejitambua.

Mwanamme wa maana hata umzidi kipato hakai nyumba uliyojenga, ulałi njaa wala umsomeshei watoto wake.

Wanaume watakao ku support ujinga uliondika wewe dada ndio waliokufikisha hapo ulipo (useless)
Sasa ni mwanamke ndo anatafuta mwanaume au vice versa?
 
Inategemea nna nyakati mbili, nyakati za kazi naamka saa kumi na moja na nusu sometimes kumi na nusu nafanya vitu vyangu vya kupata kipato, kisha kupeleka watoto shule na kwenda kazini.
Likizo time naamka kumi na mbili na nusu hadi saa moja naenda kijiweni.

Ratiba inaathiri bajeti????
Muda wako wa kuamka ni mzuri sana.
Jitahidi sana kitu cha kwanza unapoamka asubuhi ni kumuomba Mungu wako kwa imani yako.
Fanya hivyo minimum siku 40.....then rudi hapa tupe mrejesho
 
Bajeti ngumu wewe nilinunua vyakula kwa bulk system vya mwez mzima, na matumizi yote. Shida nilinunua konyag kubwa nne kila wiki ninywe moja ila nilizinywa ndani ya siku nne tu
😂😂😂😂😂😂😂 hadi hapo bajeti ikavurugika inabidi utafute hela nyingine ya kununua konyagi nyingine.

Namie huwa inatokea hivo sasa mipango inavurugika japo mie sio kwenye kilevi
 
Back
Top Bottom