Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

Janamke zee linakuja kulalamika ujinga mnataka kuli entertain.

Angekuwa na mwanaume wa maana hayo sio malalamiko ya mwanamke anaejielewa.

Naishia hapa kwa sababu sio mada zinazo ni-interest

Mama yangu mie hakuwa na elimu kama huyu mleta mada anavyojinasibu; Lakini sidhani kama alikuwa anajuwa hata changamoto ya ada yangu ya shule.

Acheni huu upuuzi wa kujazana ujinga, yaani wewe sister duh halafu hata ukujua wa kumchanulia kuja kutuandikia ujinga hapa with your struggles,
Kwahio hao wanaume wa maana wenue pesa nyingi wamejaa tu kila kona kwa uchumi huu wa bongo? Au unaongelea wapi? Pia acha kufananisha maisha enzi za wazee wako na uchumi wa leo mkuu. Ni vitu tofauti sanaaa.

Lastly, si kila mwanamke anapenda kutegemea mwanaume. She is sfter personal descipline when it comes to the matter of her finances. Hili hakihusian hata kidogo na mtu kuwa au kutokua na mwanaume.

Unachomaanisha hapa ni kwamba watu waishi bora mradi kisa wategemee wanaume?? Not quiet right
 
Tafuta mwanaume wa maana hutojua hata bei ya luku.

Ndio shida yenu ilipo hamjui mwanaume wa maana anafanana vipi.

Kuna wanawake wenzenu hawajui gharama za maisha yao hata chembe kwa sababu wanaume zao wanamaliza kila kitu.

Kuja kuuliza hala budget sijui ya nini maana yake huna mwanaume wa maana.

Mimi wakati nina miaka 20 tu mwanamke wangu alikuwa anafanya kazi, akawa anamtumia hela baba yake mpaka anaogopa. Kwa sababu alikuwa hajui mshahara wake aufanyie nini.

Bills za nyumba zote nalipa mimi na shopping ya chakula nafanya mimi.

Sasa ukikuta limama lizima linahaha budget ya familia linauliza budget, hiyo maku umempa mpuuzi gani kwa umri huo uhahe budget ya familia.

Akili za wanawake zinawatosha wenyewe
Bro Kuishi ndani ya budget sidhani kama kunahusiana nakuolewa na mwanaume wa maana ..haijalishi...kua na budget ni njema zaidi iwe una mume au huna
 
Kweli watu hatufanani, mimi kuishi bila bajeti siwezi. Kila kitu kinakwenda kwa hesabu hapa tu nipo kwenye mipango ya June huko.

Sikiliza, anza kwa kununua vitu kwa jumla hasa vyakula (Mchele, Mafuta, Maharage, Sukari n.k)
Kisha vinginevyo kama nyanya, vitunguu n.k nenda Ilala fungasha jaza friji na ukiona vyema nunua kuku na samaki weka kwenye friza utakuja kuniambia.

Hapa kinachonipa stress ni skin care yangu inaisha na bajeti yake imechangamka kidogo, basi.
NDio maana tunaugua. Mtu unakula chakula kimekaa kwenye fridge week nzima
 
Ma bro hamjambo.......

Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.

Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.

Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???

Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa 😢

Natanguliza shukrani.
Kuishi kwa bajeti inawezekana kabisa,japo ni lazima uelewe bajeti ni
nidhamu binafsi,na kwa kuwa ndio unataka kuanza basi kubali kuwa utapitia vishawishi vingi vya kuvunja bajeti na utakuwa unaivunja hiyo bajeti yako ila usijali,ndivyo utakavyoanza.Sasa fanya hivi:
1.Tengeneza bajeti yako ya kila mwezi na uweke dharura ya 20%
2.Pesa zako zote ziwe benki na uwe unatoa pesa kwa matumizi ya wiki kwa wiki tu
3.Nunua mahitaji yako ya wiki nzima na ubakie na cash labda ya nauli kwenda na kurudi toka kazini au pesa ya mafuta kama una gari
4.Stick kwa hiyo bajeti but in case utaiviolate,angalia by percentage ya kuiviolate on a weekly basis,usiogope maana kuishi underbudget ni utamaduni,endelea hivyo hivyo na itakuchukua miezi 6 mpaka 8 ndipo utaweza kabisa,na usikaye tamaa kabisa.Jaribu sasa
 
Kwahio hao wanaume wa maana wenue pesa nyingi wamejaa tu kila kona kwa uchumi huu wa bongo? Au unaongelea wapi? Pia acha kufananisha maisha enzi za wazee wako na uchumi wa leo mkuu. Ni vitu tofauti sanaaa.

Lastly, si kila mwanamke anapenda kutegemea mwanaume. She is sfter personal descipline when it comes to the matter of her finances. Hili hakihusian hata kidogo na mtu kuwa au kutokua na mwanaume.

Unachomaanisha hapa ni kwamba watu waishi bora mradi kisa wategemee wanaume?? Not quiet right
Mwanaume wa maana utampata kwa malezi yake.

Mtoto wa kiume hawezi kukubali hata siku moja kuishi kwenye nyumba iliyojengwa na mwanamke.

Mtoto wa kiume hawezi hata siku moja kukubali ada ya watoto wake ilipiwe na mkewe.

Mtoto wa kiume hawezi ata siku moja shopping ya chakula nyumbani kwakwe ifanywe na mwanamke.

Kukwama kupo kwa mtoto wa kiume, mama anaweza saidia nyakati za shida Iła hilo sio suluhisho la kudumu kwa mtoto wa kiume.

Mwanamke atakiwi kukulisha au kusomesha watoto wako kamwe.

Like how are you a man, unamtegemea mtoto wa kiume, lazima umetoka familia ya hovyo mno.

Unakuwaje comfortable mtoto wa kiume kula hela ya mtoto wa kike.

Ndio sampuli ya huyu dada kwenye maisha yake kazoea kutumiwa.
 
It
Ma bro hamjambo.......

Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.

Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.

Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???

Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa 😢

Natanguliza shukrani.

Bro hii ishu yako inaonekana serious sana manake kuna sehemu nilikuona unaomba hadi softcopy ya kitabu cha matumizi ya hela

Ukitaka kuishi within budget hatua ya mwanzo ambayo binafsi naona ni muhimu ni kutofautisha needs na wants
Kumbe Evelyn Salt ni Bro?!!!
 
Mwanaume wa maana utampata kwa malezi yake.

Mtoto wa kiume hawezi kukubali hata siku moja kuishi kwenye nyumba iliyojengwa na mwanamke.

Mtoto wa kiume hawezi hata siku moja kukubali ada ya watoto wake ilipiwe na mkewe.

Mtoto wa kiume hawezi ata siku moja shopping ya chakula nyumbani kwakwe ifanywe na mwanamke.

Kukwama kupo kwa mtoto wa kiume, mama anaweza saidia nyakati za shida Iła hilo sio suluhisho la kudumu kwa mtoto wa kiume.

Mwanamke atakiwi kukulisha au kusomesha watoto wako kamwe.

Like how are you a man, unamtegemea mtoto wa kiume, lazima umetoka familia ya hovyo mno.

Unakuwaje comfortable mtoto wa kiume kula hela ya mtoto wa kike.

Ndio sampuli ya huyu dada kwenye maisha yake kazoea kutumiwa.
Mbona kama uko too personal mkuu na mtoa mada..mara umwite mzee mara katoka family ya hovyo? Yote hayo ya nini?? Sio poa hata kidogo.
 
Bro Kuishi ndani ya budget sidhani kama kunahusiana nakuolewa na mwanaume wa maana ..haijalishi...kua na budget ni njema zaidi iwe una mume au huna
You are right Ila malalamiko kama vile ni fist person.

Sijali sana, nilitaka tu kuchana.

Wakati mimi naishi na mwanamke last time in my 20’s alikuwa hajui gharama za nyumbani na alikuwa anafanya kazi.

Sasa baba yake akiwa na shida alikuwa anantumia hela mpaka marehemu baba yake akawa anaogopa. Isije kuwa anamfanya binti yake kufanya mambo ya ajabu ili amtumie hela.

Kumbe wala mimi nilikuwa sigusi hata shillingi yake atajuwa atakavyotumia hela yake. Na kwake haikuwa na kazi zaidi ya kumtumia baba yake na kuwanunulia wadogo zake viwalo.

Same, mama yangu alikuwa na shughuli zake; lakini changamoto za ada zilikuwa zake ambazo sidhani kama maza alikuwa anazijua.

It saddens me kuona mwanamke analalamika maisha, nabaki najiuliza who did she marry kwa malezi yangu.

Anyway mta ji JJ ngonja nikatafute ugomvi kwenye siasa.

Binafsi siwezi kuwa na mwanamke mwenye kuhaha shida, I won’t allow that
 
Ma bro hamjambo.......

Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.

Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.

Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???

Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa 😢

Natanguliza shukrani.
Nafahamu inawezekana na wako wanaoishi kwa kujikadiria matumizi ya pesa. Mimi si mmoja wao, japo ninapokuwa na jukumu fulani, hapo nalazimika kujikadiria. Unapojua kipato chako ni kiasi gani, na pia umekadiria kila aina ya mahitaji yako ni kiasi gani, basi katika hayo makadirio kama kutakuwa na cha ziada kinabaki, hicho ndio cha kuanza kukiweka mbali nawe, yaani akiba.
Unapoanza matumizi, kabla hujanunua chochote, unajiuliza, je nakihitaji? Maana huwa inatokea, unajinunulia kitu ambacho unacho tayari nyumbani kwako, kwa kuwa hukumbuki au hukuangalia kama umeishiwa au la wewe unanunua tu. Kama kweli unakihitaji, nunua.
Mkuu kumbe wewe ni K!
Aise samahani sana. Nilijua wewe ni dume kumbe BICHWA KOMWE - aliniingiza chaka.

I'm very sorry!!
Umeombwa ushauri wa jambo, unazua yako yasiyohusiana na shida ya mtu. Tubadili mtazamo isiyo na tija!
 
Ni wewe yule kwenye uzi wa vitabu 😂😂

Needs ni yale mambo muhimu ambayo huwezi kutoboa bila hayo mfano nguo,chakula,gharama za usafiri,kodi na mengine
Wants ni kama gym,skin care,salon na vitu vinavyofanna na hivyo ambavyo ni kama anasa

Ulishawahi kuwa na utaratibu wa kuandika matumizi yako ya mwezi mzima unaofuata na kuyatathmini?
Matumizi yako makubwa huwa yapo kwenye nini hadi unatoka nje ya budget?
Hata needs inaweza kuwa wants ndio maana hata nguo na simu kwa mfano zipo za bei tofauti. Kupanga bajeti kwa mtu mwenye kipato cha wastani kunapaswa kwenda sambamba na malengo na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima. Kama ni nguo unaweza nunua za bei chee tu.
 
Ndio umeacha?

Poor financial planning, hiyo tunayo sana watu wengi hasa tukiwa na fedha. Nikushauri cha kufanya kwa ninaemuona anafanya na amefanikiwa kubadilika na kuendana na bajeti.

Yeye huwa anaandika mapato na matumizi yake, hata akiokota mia anaandika, mwsho wa mwezi anafunga hesabu zake na kuangalia wapi panatumia hela zaidi na kama si muhimu anapunguza kama si kuacha. Nataka nijaribu hii mbinu pia nione matokeo yake.
Huwa najaribu naishia njiani. Kitu kimoja ambacho huwa sitetereki ni kuhakikisha ndani ya nyumba kuna chakula na mahitaji muhimu ya kutosha. Nanunua in bulk vitu kama vyakula (mchele, unga, maharage, samaki, nyama, kuku, mafuta ya kupikia) gas, mkaa, na makorokoro mengine ninayoweza kuhifadhi kwenye fridge. Nahakikisha umeme, maji, DSTv haikati. Vitu vingine vidogo vidogo kama vitafunwa, maji ya kunywa, mboga za majani budget yake haikosekani. Huwa naomba Mungu tu kusitokee emergency itakayonifanya kutumia pesa nyingi. Sijawahi kuwa na budget ya nguo, cosmetics wala nywele!!! Hivyo havinipi shida. Sijanunua nguo mwaka wa 6 huu!!! Sipaki cosmetic yoyote na nywele napata olive oil tu.
 
Ni hivi hakuna mwanaume wa maana ataacha mkewe alalamike mitandaoni kwa majukumu yake.

Kama wewe mwanamke elewa umepigwa na mwanaume yeyote anae ku-support ni wa hovyo.

Kwa miła zetu
 
Bajeti ngumu wewe nilinunua vyakula kwa bulk system vya mwez mzima, na matumizi yote. Shida nilinunua konyag kubwa nne kila wiki ninywe moja ila nilizinywa ndani ya siku nne tu
Wewe ni umbwa haswaaaa,hahahaha.Niliwahai kuwa km wewe sehemu ya maporini,nilikuwa nanunua carton 2 za konyagi ili angalau nipige wiki kadhaa kabla cjarudi town but nilijikuta mzigo unakata ndn ya 2days.So toka hapo sijawahi kufanya usenge huu hata creti ya bia siwezi kuileta home na km ni hivyo labda nina wageni wa siku hiyo ambpo lzm tumalize but tofauti na hapo nitakunywa mpk iishe na bado nitarudi bar nipate zile za kelele
 
Ni hivi hakuna mwanaume wa maana ataacha mkewe alalamike mitandaoni kwa majukumu yake.

Kama wewe mwanamke elewa umepigwa na mwanaume yeyote anae ku-support ni wa hovyo.

Kwa miła zetu
Hivi unadhani kama wewe ulibahatika kuwa na uwezo wa kuhudumia mwanamke wako ni wanaume wote wanapata hicho kipato ulichonacho?

Hivi unafikiri wanawake wote wameolewa mpaka useme wawategemee waume zao? Kwa hiyo unataka kama mwanamke hajaolewa na anafanya kazi basi atafute tu wanaume kisa wamuhudumie???
 
Ma bro hamjambo.......

Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.

Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.

Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???

Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa 😢

Natanguliza shukrani.
Eva inaelekea umeajiriwa, tafuta hela za pembeni usijistress sana
 
Back
Top Bottom