Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

Wanakwambia eti mbususu aiuzwi wala sio bure. Wao ni super woman🤣🤣🤣🤣
Sinaga muda na hawa mataahira na mada ilikuwa juu ndio maana nikachangia.

Unakuta janamke linajiona sista duu humu, halafu linalalama kuhusu budget. Tayari unaona ni li taahira lingine.

Wenzake hawajui hizo changamoto, wenye wanaume wa maana.

Nawapa tu dose yao.

In my 20’s mwanamke niliekuwa naishi nae alikuwa hajui bills.

Yaani wewe zee unalichanulia jitu bado tu hujui thamani ya sumaku yako.

Pathetic
 
Bajeti mnaweza nyie akina dada, sisi acha tuishi tu kwa kudra za Mwenyezi Mungu, hujakaa sawa umepigwa vibomu na vidada ka vinne hivi kwa mpigo, ukichomoa viwili viwili lazima vinase, na hapo hujakaa na wana ukazungusha moja mbili…….hapo bado wazee hawajakwambia mwanetu huku mambo sio mazuri, bills za wife nazo hazieleweki, zingine za visilani tu ili ukatae akununie apate sababu ya kukunyima mbususu, sasa hapo utabajeti saa ngapi with those surprises? Na msiseme sijui tuache nini nini…….bado tunathamini mchango wetu kwenye pato la taifa na income distribution.
 
Haya ndio mambo yananifanya niogope kuondoka nyumbani,.

Hela yangu tena nianze kuiwazia mara mchele, malage sijui nauli nini nini huko ...NEVER😶
Never tena?🤣🤣

Utake usitake itafikia stage utaiwazia tena sana, utapanga na kupangua, utaichungulia hela yako maana siku zote mapato yanakuwa madogo, siku zote mahitaji ni mengi.
 
Hinafsi nadhani bajet siku zote unayo, unakosa nidhamu ya matumizi. Mfano hapo unasema kila ukipata pesa unatapanya, huko ni kukosa nidhamu. Ila ukiwa na limited funds mbona unatumia vizuri tu.
 
Hapo kwenye kununua vitu vya jumla, kabla sijanunua naanzaje kujua mahesabu ntatumia maharage kg 7, mchele 20 n.k

Ukiachana na vyakula bajeti binafsi je? Usafiri, saloon, mavazi nk
Kitakachokufanya ujue kiasi cha vitu ni idadi ya watu ulionao kwenye familia yako.
Mfano Mimi familia yangu ina watu sita.Huwa nanuua mchele kg 20 kwa mwezi,maharage kg 5 haya yanakaa miezi miwili.Gas Ile ya 55,000 inakaa mwezi na nusu.Sabuni ya unga 20,000, na vingine vidogo vidogo.Nyama,samaki bills za maji na umeme na kulipia ving'amuzi hivyo namwachia mr.
 
Wanakwambia eti mbususu aiuzwi wala sio bure. Wao ni super woman🤣🤣🤣🤣
Jifunzeni kuwa SUPER WOMAN kama BICHWA KOMWE. The Blueprint of Superwoman. The epitome.

Mnakosa vingi, itabidi nianzishe darasa la Unyago ili niwafunde vilivyo.

UNYAGO HIGH SCHOOL. Mwalimu mkuu atakuwa Lucas Mwashambwa akisaidiwa na kijumbe wake Lamomy

Luca atapangiwa majukumu ya kutoa elimu ya JANDO.

Cc: Mbaga Jr Poor Brain Extrovert secretarybird
 
Kitakachokufanya ujue kiasi cha vitu ni idadi ya watu ulionao kwenye familia yako.
Mfano Mimi familia yangu ina watu sita.Huwa nanuua mchele kg 20 kwa mwezi,maharage kg 5 haya yanakaa miezi miwili.Gas Ile ya 55,000 inakaa mwezi na nusu.Sabuni ya unga 20,000, na vingine vidogo vidogo.Nyama,samaki bills za maji na umeme na kulipia ving'amuzi hivyo namwachia mr.
Maharage kg 5 yanamaliza mwezi??? Mmh mbona ni kidogo, mi kwangu nikipika maharage nusu kilo ni siku mbili yanaisha....hiyo kilo tano ni siku kumi na mbili tu make ni bajeti ya wiki mbili

Tunakula sana 😁
 
Sinaga muda na hawa mataahira na mada ilikuwa juu ndio maana nikachangia.

Unakuta janamke linajiona sista duu humu, halafu linalalama kuhusu budget. Tayari unaona ni li taahira lingine.

Wenzake hawajui hizo changamoto, wenye wanaume wa maana.

Nawapa tu dose yao.

In my 20’s mwanamke niliekuwa naishi nae alikuwa hajui bills.

Yaani wewe zee unalichanulia jitu bado tu hujui thamani ya sumaku yako.

Pathetic
Evelyn Salt soma hiyoooo.
 
bajeti ndio matumizi yenyewe,sijaelewa unavyosema kuishi bila bajeti unamana gani?

ondoa shaka binti yangu mi naona uko vizuri mradi unafanya matumizi basi sioni shida iko wapi
 
Asubuhi huwa unaamka saa ngapi?
na baada ya kuamka ni kitu gani unafanya?
Inategemea nna nyakati mbili, nyakati za kazi naamka saa kumi na moja na nusu sometimes kumi na nusu nafanya vitu vyangu vya kupata kipato, kisha kupeleka watoto shule na kwenda kazini.
Likizo time naamka kumi na mbili na nusu hadi saa moja naenda kijiweni.

Ratiba inaathiri bajeti????
 
Back
Top Bottom