Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

Inamaana unashindwa kutofautisha kati ya furaha ya kulombana na kuzaa? Kwani ukilomba lazima uzae? Si unapanga uzazi ?
Unapangaje uzazi na wakati raha ya kulombaaa ni kavu kavu. Kuchomoa mzeya technique ngumu sana sie vibamia hatuwezi.
Ukumbuke nyie wenye deliboloz sperms zina safari ndifu ya kusafiri mpaka kutoka sie vibamia distance ni fupi so unashangaa tuu wadhungu tayari wamejaa kwenye mbususu ya mke
 
Unapangaje uzazi na wakati raha ya kulombaaa ni kavu kavu. Kuchomoa mzeya technique ngumu sana sie vibamia hatuwezi.
Ukumbuke nyie wenye deliboloz sperms zina safari ndifu ya kusafiri mpaka kutoka sie vibamia distance ni fupi so unashangaa tuu wadhungu tayari wamejaa kwenye mbususu ya mke
Unajizuia kulomba wakati wa danger days, au kijiti, kijiti unalomba kavu nakuhu mke hapati mimba.
 
Janamke zee linakuja kulalamika ujinga mnataka kuli entertain.

Angekuwa na mwanaume wa maana hayo sio malalamiko ya mwanamke anaejielewa.

Naishia hapa kwa sababu sio mada zinazo ni-interest

Mama yangu mie hakuwa na elimu kama huyu mleta mada anavyojinasibu; Lakini sidhani kama alikuwa anajuwa hata changamoto ya ada yangu ya shule.

Acheni huu upuuzi wa kujazana ujinga, yaani wewe sister duh halafu hata ukujua wa kumchanulia kuja kutuandikia ujinga hapa with your struggles,
yani nyau kama nyie mnakuwaga na maisha ya hovyooooooooo katika uhalisia!
Huku mitandaoni ndo mnakojijaza personalities zote mnazotamani mngekuwa!
 
Tafuta mwanaume wa maana hutojua hata bei ya luku.

Ndio shida yenu ilipo hamjui mwanaume wa maana anafanana vipi.

Kuna wanawake wenzenu hawajui gharama za maisha yao hata chembe kwa sababu wanaume zao wanamaliza kila kitu.

Kuja kuuliza hala budget sijui ya nini maana yake huna mwanaume wa maana.

Mimi wakati nina miaka 20 tu mwanamke wangu alikuwa anafanya kazi, akawa anamtumia hela baba yake mpaka anaogopa. Kwa sababu alikuwa hajui mshahara wake aufanyie nini.

Bills za nyumba zote nalipa mimi na shopping ya chakula nafanya mimi.

Sasa ukikuta limama lizima linahaha budget ya familia linauliza budget, hiyo maku umempa mpuuzi gani kwa umri huo uhahe budget ya familia.

Akili za wanawake zinawatosha wenyewe
mxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxiiiiiiieee
 
Kweli watu hatufanani, mimi kuishi bila bajeti siwezi. Kila kitu kinakwenda kwa hesabu hapa tu nipo kwenye mipango ya June huko.

Sikiliza, anza kwa kununua vitu kwa jumla hasa vyakula (Mchele, Mafuta, Maharage, Sukari n.k)
Kisha vinginevyo kama nyanya, vitunguu n.k nenda Ilala fungasha jaza friji na ukiona vyema nunua kuku na samaki weka kwenye friza utakuja kuniambia.

Hapa kinachonipa stress ni skin care yangu inaisha na bajeti yake imechangamka kidogo,
Huu ni Uoga wa maisha
 
Siyo kula tu hapo amehainisha vitu vingi vingi
Eva ndo kanifanya nijifikirie matumizi yangu hata sikumbukagi.

Ila kwenye kula watoto wanakula wanachotaka na jioni siku moja moja unawaonjesha vya dunia kabla waonjeshwe na dunia wadhalilike
Mtoto anakula nini bwana cha ajabu...sii ugali maharage tuu
 
Back
Top Bottom