Ukipata muda Kuna audiobook: the richest man in Babylon ipo kwa KISWAHILI unaweza icheki.Ma bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.
Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.
Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???
Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa 😢
Natanguliza shukrani.
Ukumbuke kwamba kuna watu kadi zao za benki zipo kwenye vidirisha aka Kausha damu aka vimangala aka vizimwingala.Noma ki-mbwa!Mhm wiki 320k😲😲😲
Sijaelewa mie backbencher ongea kibackbencher zaidiUkumbuke kwamba kuna watu kadi zao za benki zipo kwenye vidirisha aka Kaushal damu aka vimangala aka vizimwingala.Noma ki-mbwa!
Kwa ufupi,watu hawana vipato vya kupangia bajeti.Ni "hand to mouth budgets"!Kipato cha dola moja kwa siku Mola akijaalia ndiyo upange na bajeti?Utakuwa ni uongo mtukuka.Sijaelewa mie backbencher ongea kibackbencher zaidi
Bora wee unasema ukweli wa mambo.Kwa ufupi,watu hawana vipato vya kupangia bajeti.Ni "hand to mouth budgets"!Kipato cha dola moja kwa siku Mola akijaalia ndiyo upange na bajeti?Utakuwa ni uongo mtukuka.
Subiri kwanza napanga bajeti ntakupigia baadae 😁Uko wapi da eva
Laki mbili ndiyo afungue hadi trial balance?Uongo gani huo?Bora wee unasema ukweli wa mambo.
Less than a dollar a day unapanga budget gani? Budget kama take home inaanza na 1.5 mil. Chini ya hapo wee kula tuu familia iishi vizuri
Unakaribisha kisukari na dondakoo bure tu.Subiri kwanza napanga bajeti ntakupigia baadae 😁
Panga bajeti ya chini ya bajeti yako, yaano kama unataka kupanga bajeti ya 300K/month jipangie bajeti ya 200/K.Ma bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.
Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.
Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???
Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa 😢
Natanguliza shukrani.
ShukraniPanga bajeti ya chini ya bajeti yako, yaano kama unataka kupanga bajeti ya 300K/month jipangie bajeti ya 200/K.
Bajeti ikibalance yaani 300K/month na wewe ukapigia hesabu matumizi ya 300K iyo iyo jua tu lazima kuna kiasi kitazidi
Hapana nataka kuishi kwa utaratibu 😁Unakaribisha kisukari na dondakoo bure tu.
Nakutakia mipango myema ya bajeti muheshimiwa.Hapana nataka kuishi kwa utaratibu 😁
Ushaharibu, unajua kipato chako kidogo unazaa watoto wengi wa niniNipe akili basi maana mie kazi ya gu bodaboda
Ebo! Yaani furaha ya maskini nayo tusipate...acha umama bwana sie tunazaa tuu, mungu yupo watoto wataishi tuu🤣🤣🤣🤣Ushaharibu, unajua kipato chako kidogo unazaa watoto wengi wa nini
Watu wana familia kubwaMhm wiki 320k😲😲😲
Wanakula nini cha ajabu mwanawane ambacho zie binadamu wwngi e hatuli? Ugali wali maharage haya haya au wenzetu wanakula pizza na burgerWatu wana familia kubwa
Inamaana unashindwa kutofautisha kati ya furaha ya kulombana na kuzaa? Kwani ukilomba lazima uzae? Si unapanga uzazi ?Ebo! Yaani furaha ya maskini nayo tusipate...acha umama bwana sie tunazaa tuu, mungu yupo watoto wataishi tuu🤣🤣🤣🤣
Wanakula wanachotaka.Wanakula nini cha ajabu mwanawane ambacho zie binadamu wwngi e hatuli? Ugali wali maharage haya haya au wenzetu wanakula pizza na burger
😂😂😂😂😂 nime-generalize asee usiogopeMhm wiki 320k😲😲😲