Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

Mama mchungaji nae kaijijuaje nyeto lakini πŸ™„
inaaminika kwamba Roho Mtakatifu humpa mchungaji discernment, kwahiyo nadhani hajafanya hii skin kea lakini ikitokea amejaribu akaona ni kwanini mna-support kujichua ,pengine ataungana nanyi kwenye safari yenu ya urembo
 

Mfano wa Bajeti ya Mwezi (Familia ya Watu 3, Kipato: 700,000)​

Unaweza kutumia hii japo sijui kipato chako ila tumia formati hii
MatumiziKiasi (Tsh)Maelezo
Kodi ya Nyumba80,000Umekodi kwa 80,000/mwezi
Nauli90,000Tsh 3,000 x 30 siku
Chakula250,000Mahitaji ya kila siku: unga, mchele, mboga, nyama, mafuta, nk
Umeme na Maji30,000Umeme (10,000 - LUKU), Maji (20,000 au kulingana na matumizi)
Mafuta ya kupikia20,000Mafuta ya kupikia ya mwezi mzima
Maziwa/unga wa mtoto (kama wapo watoto wadogo)20,000Inategemea kama kuna mtoto mdogo
Afya / Dawa ndogo ndogo15,000Dawa za kawaida kama Panadol, ORS, nk
Usafi wa nyumbani na binafsi20,000Sabuni, dawa ya meno, pads, detergent, nk
Elimu / Ada / Mahitaji ya mtoto40,000Vitabu, ada ndogo, sare, nk (ikiwa mtoto anasoma)
Akiba/Matumizi ya Dharura50,000Kwa ajili ya hali ya dharura au kujiwekea akiba
Burudani/Matumizi ya ziada20,000TV, redio, vocha, outing ya mara chache
Mengineyo65,000Mahitaji yanayotokea ghafla, mfano: mgeni, harusi, michango, nk
| Jumla | 700,000 | |

Jaribu kuweka akiba hata kama ni kidogo kila mwezi.
Nunua bidhaa kwa jumla (wholesale) unapoweza – huwa nafuu.Panga mlo kwa wiki ili kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.Tumia usafiri wa pamoja au tembea kidogo kama inawezekana kupunguza gharama ya nauli.
Kama ni mroho usinunue bia au pombe nyingi ndani utafiiia huko ndani. Karibu Evalyn kila mwez weka bajeti ya bia zangu nitakuwa mgeni wako
 
Nyana utanunua kwenye airtel money app?
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† awap ningeeka buku tano tano kumi kumi wangeguna sana si unajua jF kila mtu tajiri 😁😁
JF kila mwanaume ana gari, kasoro mimi na mzabzab , sasa mwakani nanunua, atabaki mzabzab tu JF nzima, pia JF kila mwanaume anamiliki mke mzuri au wife material, JF kila mwanamke ana degree ya chuo kikuu. Maisha ya mtandaoni ni feki kwelikweli
 
Samahani naomba nicheki now pm tuongee jambo..
Hayo ndio mambo yangu mpaka nafikia sasa nakua millionea ni kwa sababu ya bajeti..
Kama upo seriously nichek nikufundishe kanuni moja inaitwa PERSONAL TRAINER KIT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…