Bro huko ulikoniona sio mimi 😂😂😂😂
Hebu anza kunitofautishia hapo
Ili nijue pa kuanzia
Ya shemeji ako 😁Sasa bro lipstic ya nini tena?
Jks😂
Mafuta ya nini?VP hutumii mafuta
kumbe we ni wife material kabisa ndo muache kujiita bro mnakuwa mnatuchanganya...🤣Ni wewe yule kwenye uzi wa vitabu 😂😂
Needs ni yale mambo muhimu ambayo huwezi kutoboa bila hayo mfano nguo,chakula,gharama za usafiri,kodi na mengine
Wants ni kama gym,skin care,salon na vitu vinavyofanna na hivyo ambavyo ni kama anasa
Ulishawahi kuwa na utaratibu wa kuandika matumizi yako ya mwezi mzima unaofuata na kuyatathmini?
Matumizi yako makubwa huwa yapo kwenye nini hadi unatoka nje ya budget?
kumbe we ni wife material kabisa ndo muache kujiita bro mnakuwa mnatuchanganya...🤣
Mimi najitolea kuwa huyo mtu utakae kuwa unampa hela...😁Kuhusu budget ya hela nipo vizuri,situmii hela ambayo sikupanga itumike... Evelyn Salt hajaamua
Bahati nzuri sina mtu yoyote nayetakiwa kumpa hela
Au sioMimi najitolea kuwa huyo mtu utakae kuwa unampa hela...😁
Mi kwakweli ni mvuruganooo yani sina matumizi ya kueleweka, mara rambirambi nimenunua mboga hela ya mboga sijui imelipa nini mtaji wa biashara mara nimeununua nguo yani bro ni vurugu 😢😢Kuhusu budget ya hela nipo vizuri,situmii hela ambayo sikupanga itumike... Evelyn Salt hajaamua
Bahati nzuri sina mtu yoyote nayetakiwa kumpa hela
Mi kuna siku nyengine najiambia sitaki kutumia hata senti moja maana kama ni msosi upo yani kila kitu!.. kwani huwa naweza najikuta automatic nimeshatumia...🤣Bro na tarehe ndio kwanza 16, kuishi kwa bajeti ni kuzuri sana ila kuweza kuishi ndani ya bajeti ndio mtihani.
Mtihani mkubwa, mi siku nikiweza kuishi kwa bajeti nitakua tajiri 😁Bro na tarehe ndio kwanza 16, kuishi kwa bajeti ni kuzuri sana ila kuweza kuishi ndani ya bajeti ndio mtihani.
Sasa huyu everly wa chumvi itabidi umuandalie darasa huko pm na akizingua uniambie mimi najua nini chakumfanya!.Au sio
Kwahyo utaki kuwa tajiri? Kama paswedi yako ya utajiri n kuishi kwa bajeti mbona simpo sana punguza matumizi yasiyo ya lazima sana. Sijasema uache bia broMtihani mkubwa, mi siku nikiweza kuishi kwa bajeti nitakua tajiri 😁
Mara ya mwisho nmekunywa bia january.....sina mpango wa kunywa hivi karibuni.Kwahyo utaki kuwa tajiri? Kama paswedi yako ya utajiri n kuishi kwa bajeti mbona simpo sana punguza matumizi yasiyo ya lazima sana. Sijasema uache bia bro
Hali hiyo inatokea sana na ukiwa ni mtu wa kutoa toa kila unapoliliwa shida ndio kabisa.Mi kuna siku nyengine najiambia sitaki kutumia hata senti moja maana kama ni msosi upo yani kila kitu!.. kwani huwa naweza najikuta automatic nimeshatumia...🤣
Ndio umeacha?Mara ya mwisho nmekunywa bia january.....sina mpango wa kunywa hivi karibuni.
Shida kubwa ni kutokua na mipango yani nikiwa na hela ni matumizi ya ovyo ovyo tu kununua vitu ambavyo hata sikupanga
Sijaacha nimepumzika kwanza.....Ndio umeacha?
Poor financial planning, hiyo tunayo sana watu wengi hasa tukiwa na fedha. Nikushauri cha kufanya kwa ninaemuona anafanya na amefanikiwa kubadilika na kuendana na bajeti.
Yeye huwa anaandika mapato na matumizi yake, hata akiokota mia anaandika, mwsho wa mwezi anafunga hesabu zake na kuangalia wapi panatumia hela zaidi na kama si muhimu anapunguza kama si kuacha. Nataka nijaribu hii mbinu pia nione matokeo yake.