Hivi ingekuwaje kama wanawake ndio wangekuwa wanatongoza wanaume?

Basi nyie wengine kwendeni zenu,,nishajipatia wa ndoa kabisa
Sijakuelewa hebu nipe ufafanuzi maana nimelewa Kiepe na firigisi hapa 🀣🀣🀣
 
Hakuna mwanaume angekataa...hapo ndiyo ungejua kumbe wanaume ni malaya kuliko wanawakeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…