Hivi ingekuwaje kama wanawake ndio wangekuwa wanatongoza wanaume?

Mimi mademu wote walionitongoza hakuna niliyemkubali hata mmoja licha ya kuwa nilikuwa single, je itakuwa nikioa?
 
wape mbinu wenzio sasa,,ulitumia technique gani kuwakataa
 
Niliwachana laivu siwataki, wengine nilipuuza simu zao hadi wakakata tamaa, kinachoshangaza ninaowataka nikiwatongoza ndo wananizungusha, yaani haya maisha ni ya ajabu sana.
 
Malipo ni hapa hapa aaaalaaah ๐Ÿคฃ
 
Wanaume wengi tungekuwa tunaitwa maharage ya mbeya..!
 
Mwanamke ana uwezo wa kumtongoza mwanamme halafu akamuaminisha mwanamme kuwa mwanamme ndiye kamtongoza mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ