Hivi ingekuwaje kama wanawake ndio wangekuwa wanatongoza wanaume?

Wanawake huwa wanatongoza Sana wanawake ila wanafanyaga indirectly.
 
miez yote io ina wifi ndani
Ndo tusaidie, sijui mnawazaga nini akilini, afu miezi yote hiyo utakuta analiwa na watu wa kawaida tu, tena kiurahisi kabla hata hajatongozwa. Aliyetongoza kwa kuonyesha Nia ya malengo ya baadae ndo anazungushwa kama siyo kukataliwa kabisa.
 
Unaemtaka hakutaki, anayekutaka humtaki, kwa lugha nyingine, mtakwa hataki, mtakwo hatakiwi.
 
Ndo tusaidie, sijui mnawazaga nini akilini, afu miezi yote hiyo utakuta analiwa na watu wa kawaida tu, tena kiurahisi kabla hata hajatongozwa. Aliyetongoza kwa kuonyesha Nia ya malengo ya baadae ndo anazungushwa kama siyo kukataliwa kabisa.
walete niwafanyie maombi wote hao,,sisi wenyewe hatujui tunataka nini mkuu
 
Ingelikuwa hivyo, mimi ningeitwa ile a.k.a 'maharage ya Mbeya'.
 
Sometimes kutembea na kila anayekatiza mbele yako ni jau, unatakiwa uwe selective, jipe thamani mwanaume.
Kwa kuwa jambo lenyewe ni la kufikirika nikaona nitupieko kautani kidogo, sikuwa serious na jibu'ilo.
 
Siwezi sema kutongoza, more like teasing. Wanaotease na kukupavijaribu wapo kila sehemu. Strikers professional huwa tunatoa assists tu it doesn't matter goal lipo mbali kiasi gani as long as hajatoka nje ya field.
 
Uko Chaka gani?

Mbona wao ndio watongozaji?
 
Mi ningekuwa nikimtongoza mtu akikataa nampiga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…