Hivi ingekuwaje kama wanawake ndio wangekuwa wanatongoza wanaume?

Unajiongopea mkuu mimi nishatongozwa mara nne hivi katika maisha yangu yaani ile ya wazi achana zile za mwanamke kuflirt
Na zote hizo sijawapa hata attention mkuu
Mi nafurahia kumla mwanamke niliyemtongoza mimi haijalishi nina mtu au sina mtu kwa wakati huo..
Nachukulia dharau mwanamke akinitongoza
Nawaza tu kuwa kama hajaiogopa aura yangu ya kiume ni vipi ataniheshimu kwenye mahusiano?
Ni kwa upande wangu.
 
Kwani hadi leo hujawahi kutongozwa na mwanamke?Mbona siku hizi ndiyo mpango mzima na kuringa tunaringa kabisa.
 
Ingekuwa kama wanaume wanavyofanya sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…