Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Ninaposema NATO elewe ni nazungumzia nchi wanachama kufanya operation kwa kushirikiana hata kama ni tatu, tano unofficial.
Hakuna kitu kama hicho cha "nchi tatu kufanya 'operation"; hili ndilo jambo la wazi kabisa linaloonyesha hujui NATO ni kitu gani.
Unafikiri Israel kuishambulia Iran, Lebanon, Syria, Palestine, Yemen haikushirikisha coordination ya wanachama wa NATO.
Tofautisha kinacho fanywa na nchi binafsi, kama Marekani, ambaye ni mwanachama wa NATO na ushiriki wa moja kwa moja wa NATO kama ushirika.
Marekani kapigana sehemu mbalimbali duniani na kuangusha serikali mbalimbali; huwezi kusema ni NATO walioshiriki kwenye vita hivyo. Zipo taratibu zinazotumika na kutakiwa kufuatwa NATO inapojihusisha kwenye maswala kama ushirika. Kwa mfano; kama unafuatilia vizuri mtafaruku wa Urusi na jirani yake utaelewa ninacho kizungumzia hapa.
Huu ulikuwa ni ushirika wa Israel na Marekani, siyo NATO
 
Mada inahusu ukombozi, imepoteza mwelekeo. Inahusu sasa matusi na kitu kidogo kuhusu NATO covert operations.
Jambo muhimu hapo kwenye hiyo taarifa ni "ushiriki wa NATO", hilo halipo kabisa
Labda useme hizo nchi binafsi wananchama wa umoja hao; lakini siyo wao kama NATO na wala hawawezi kuiwakilisha NATO kwingine kokote, bali kwenye ulinzi wa nchi zao kama wananchama wa NATO.

Ukombozi wa nchi yetu tunautaka sote, na ni jukumu letu kuupata kwa kila njia itakayo wezekana; lakini haiwezekani kwa kupeana taarifa potofu.

Haya mambo ya kuvunga vunga ndiyo yaliyo tufikisha hapa tulipo sasa!
 
Wewe ni Matako kila siku ikianza mada lazima umtaje marehemu yule alishakufa kwani kuna kitu gani cha maana kimepiga hatua baafa ya yeye kufa, niambie kama kuna kupiga hatua kokote? zaidi ni kwamba hali ndio imekuwa mbaya zaidi, yeye amefanya sehemu yake ameshaondoka kama kuna sehemu alikosea waliopo si warekebishe, mbona kila siku mada itakayoanzishwa wewe jamaa lazima umtaje magufuli kwani alikufanyaga nini
 
Umeshikiria na kukomaa na Semantics. Nimekwambia mara nyingi hautumiki mfumo rasmi wa majadiliano. Ila ni resources, rasilimali, nguvu za wanachama.
 
Sasa unamanisha Nini,
Kwamba vita yenu na Samia ni vita ya kidini au cyo,
Mlitegemea may b mkunda sbbu ni mtu wa upande uo awasapoti ila ana kwamishwa na hao waislam au cyo
bas sawa endeleeni
Kwani wewe huoni aliye waweka watu hao kwenye nafasi hizo alikuwa na maana gani? Hili nalo unataka hadi uambiwe?

Hatujui hao watu waliowekwa kwenye nafasi hizo dhamira zao zikoje,; lakini tunachojuwa bila ya shaka yoyote ni dhamira ya huyo aliye waweka kwenye nafasi hizo.
 
Wewe kubadilisha lengo la uzi kuwa kuhusu wewe, lugha, semantics NATO ndio mnapunguza nguvu ya umma kupigania ukombozi. Japo hujitambui kama mwenzako Modwari hapo juu.

Ungeweza kwanza kuangalia lengo kuu la uzi, kusupport harakati za Augustino Polepole.

Kama una issue ndogondogo, Semantics, official version kuanzisha uzi wako.
 
Umeshikiria na kukomaa na Semantics. Nimekwambia mara nyingi hautumiki mfumo rasmi wa majadiliano. Ila ni resources, rasilimali, nguvu za wanachama.
Mkuu, hapa hakuna cha 'semantics' wala nini, labda uwe unayo maana nyingine ya neno hilo. Hawa NATO wanazo taratibu zinazotumika kwenye umoja wao; hawa hawafanyi mambo yao kishamba kama tunavyofanya huku.

NATO hahusiki popote nje ya umoja wao; na wala haiwakilishwi na baadhi ya wanachama wao nje ya umoja wao.

Kuna ugumu gani wa kuelewa hili.
 
Nakusaupport kwa 200% hili nimelishuhudia mtaani kwetu..
Policcm walikimbizwa vibaya na bakabaka kisa walipita wakapiga mabomu ya machozi wakati raia wametulia
Mujuni Kato Dog.
 
Solution hapa iliyobaki ni kuweka kambi nchi jirani na kujipanga kuichukua nchi. Lasivyo tutasubiri sana.
Hiyo njia ni ngumu, lakini ndio njia pekee. Ccm haiwezi kutoka kwa boksi la kura wala sijui katiba mpya ni kupoteza muda tu
Bungeni kwa sasa wamejazana ndugu tupu
Mtoto wa mwinyi
Mtoto wa magufuli
Mtoto wa JK
Mtoto wa Samia
Mke wa Jk
Mkwe wa Samia
Mtoto wa.mdogo wa Samia.

Hakuna anayejali tena, hakuna aibu tena nepotism ya kiwango inafanyika
 
HAPANA.
Samia Suluhu Hassan katufundisha mabaya mengi; lakini hili la ulaghai na uongo nadhani ndilo linalo tuharibu zaidi.

Tuachane na hii tabia mbovu ya kupindisha pindisha mambo. Ukombozi wa kweli hauwezi kupatikana kwa njia za udanganyifu na uongo /upotoshaji mwingi.
 

HAMISI DELGADO NA KAMBI YA NATO UJERUMANI

Msidharau watu, kuna raia wakisimulia mapito yao utajua kuwa siyo lazima kukataa yale unayosikia hadi upate simulizi nyingine ya kuikanusha


 
Kwa nini wewe usiongelee hiyo katiba mya? wamekuziba mdomo au
 
Askari wa kweli huwa hatangazi hadharani mikakati yake dhidi ya adui.
Hata askari waliokuwa wanamwambia Mange kuwa wako pamoja na wananchi nilijua tu ni feki hao.
Eti wananchi walijitokeza kwa wingi watapindua Serikali.
Baadaye wakajitetea eti hawana silaha.
 
Niliandika hapa Mada mbili za Kumzungumzia huyo Mpumbavu na nasikitika Wapumbavu wenzake Jamvini bado tu pia hawakunielewa. Nilishamdharau kitambo sana na nimesikitika kuona nawe mpaka hivi leo hujamdharau japo naamini kuanzia sasa utaanza Kumdharau.
 
Nachukia kujirudiarudia.
Semantics, ufasaha ni kufuata kanuni za lugha sahihi siku zote.

USA, UK, Israel, France, Germany wanafuata hivyo kwenye taarifa sahihi, rasmi kwa umma tu. Taarifa za kijasusi, za mapinduzi hawafuati huo utaratibu.

NATO inaongozwa na USA akisema kitu hakuna wa kubisha japo wewe unaamini kuna demokrasia ndani ya mfumo wowote wa Ulaya. USA ndio anailinda Ulaya na maslahi ya Ulaya duniani.

Albania, Latvia, Iceland, Lithuania, Macedonia, Montenegro maoni yao sii muhimu nchi tano kuu muhimu. Vilevile kwenye EU, UN.

UN inaweza kukamishwa na nchi moja muhimu japo 150 zimekubali hitimisho.
 
Doctrine ya "You're with us or against Us"; imedumu muda mfupi sana hadi akina New Zealand nao wakaanza kuwa sehemu ya NATO!

Sasa wewe unazungumzia habari za mpito. NATO malengo yake hayakuwa hivyo na hayajawahi kuwa hivyo kama unavyo yaelezea hapa.

A unipolar world is no longer with us.

Lakini la muhimu, hata katika hayo uliyo yaandika hapo; nchi hizo zinaposhiriki hawajitambulishi wao kuwa ni watu wa NATO.
 
Tunacho sahau hapa sote ni kuwa hawa wateuzi wao (hao akina Mkunda), wanawajuwa ndani kabisa. Wamepewa nafasi hizo kwa sababu wanajulikana ni watu wa aina gani.

Jambo tunaloweza kumsifia Samia na Kikwete, ni kuwa wamejipanga vizuri toka mwanzo bila ya kutiliwa shaka na yeyote kuhusu mipango yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…