Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Tatizo unataka wafanye unavyofikiri wewe..wakati hatujui uko ndani walioshika mpini wakina nani
Jibu swali utofauti wao na jeshi la congo ni upi maana museven kaingiza wajeda 1200 hapa wameua wananchi 10000 na kubaka dada zetu wanajeshi wapasua matofali wakishuhudia kama masanamu na Sasa hivi habari imetoka bado jeshi la museveni halijaondoka lipo Kagera boda ya rusumo wanalala mabweni ya Samia girl School je traole angekaa kama haya ya kwetu yalivyozubaa angeikomboa Burkina faso
 
Wewe unafikiri JW wana act unavyotaka wewe.?? Huwez jua muundo wao ukoje mpaka issue ya kuingilia maandamano ikawa ngumu
 
Hahahaaaa……sidhani kama ni active duty yule.

Halafu yule ni kaka ake na Humphrey kweli?
Mimi pia nina pata mashaka kama ni kaka yake kweli. Halafu sijui kama kichwani ni mzima yule. Anaongea ongea tu hovyo hovyo, wala si wa kumtilia maanani.. Mara anajua Ridhwan anajua Polepole alipo, Mara Abdul, Mara Mafwele.. Mara Polepole ana’chip’ mwilini. Yani ujinga ujinga tu.
 
Wewe unafikiri JW wana act unavyotaka wewe.?? Huwez jua muundo wao ukoje mpaka issue ya kuingilia maandamano ikawa ngumu
We mavi kweli mwanajeshi akiamua kuchukua nchi hajali kuhusu muundo Wala ujinga Gani ni ujasiri pekee Sasa jwtz ni maoga hayo mpaka polisi mafwele anayakamata na kuyasweka ndani unafikiri traole alikua na muundo mlaini mpaka akachukua nchk unaongea na kizazi Cha Sasa gen z danganya wazee wenzio tanzania hamna jeshi la kulinda wananchi Kuna jeshi la kulinda majizi
 
SAwa asante kwa mitusi..ila kua makini na domo lako..hivyo tu
 
Usip
Usipende kusoma magezeti ya udaku
 
Ndo tulipo fika unashambuliwa na watu kwa risasi we huna bunduki inabid nasi tuwenazo ili Ngoma droo kama noma na iwe noma, NISHAchoka kitukuu Cha clement mwandambo
 
Acha wazoee IPO day wataingia kutoka mtiti, kunya kunyewa
 
utomaso ndo umetufikisha hapa watz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…