Hivi kibongo bongo ni sahihi mwanaume au mwanamke asiye na degree kumiliki mtu mwenye degree?

Hivi kibongo bongo ni sahihi mwanaume au mwanamke asiye na degree kumiliki mtu mwenye degree?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?

Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?

Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate demu mwenye bcom degree ya hapo Udsm, Diamond atakuwa na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
 
Nyie ndio mnasababisha wenye degree kukosa kuolewa.
Mie kwakweli nimpate anayejua angalau kuzungumza kiingereza, maana kwa ninavyopenda kuchanganya lugha, anaweza kuhisi namtukana buree! Atleast awe anajua lugha zaidi ya moja! Zaidi zaidi English! Inapendeza sana!😀
 
Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?

Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?

Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure,ampate demu mwenye bcom degree ya hapo udsm, Diamond atakua na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
Na degree yako unasubiria tukupe ajira wakati diamond kajiajiri kutupungizia mzigo Serikali.....Sasa wewe na yeye nani anatulipa kodi nzuri???????? Ulichoandika ni utoto mtupu
 
Hakuna mtu anaeweza kumiliki mtu. Kuhusu suala la mahusiano, mahusiano hayana formula na maisha halisi hayategemei elimu ya mtu labda ajira. Ndoa sio ajira na digrii ni taarifa za makaratasi hazina athari kwenye maisha halisi au mazungumzo ndani ya ndoa.
 
Hiyo degree ina-offer nini mezani wakati wasiokuwa na degree ndiyo wanaokutuma? Huyo mkeo nae ili apande cheo huko ofisini au akae kwa utulivu inabidi avuliwe nguo na msimamizi wa kitengo hiyo ndiyo maana ya degree?

Kaa kwenu uchume hela kutoka kwenye hiyo degree lakini kama na wewe unatoka asubuhi kama asiyekuwa na degree kuwahi kibaruani halafu unasubiri mwisho wa mwezi huku ukiomba omba msamaha kwa mwanaume mwenzako basi wewe ni kolo tu kama makolo wengine.
 
Nyie ndio mnasababisha wenye degree kukosa kuolewa.
Mie kwakweli nimpate anayejua angalau kuzungumza kiingereza, maana kwa ninavyopenda kuchanganya lugha, anaweza kuhisi namtukana buree! Atleast awe anajua lugha zaidi ya moja! Zaidi zaidi English! Inapendeza sana!😀
Unataka lugha au unataka mwajibikaji???
 
Degree haitunzi ndoa, hapa Nina Baba K na degree yake lakini anapelekeshwa na marafiki wasio na degree🤣🤣
Hadi unajiuliza "huko chuoni mlienda kusomea ujingaa"🤣🤣🤣🤣 in Faiza's voice🤣
Sio kupelekeshwa ame opt kutolumbana na kubishana na mtu mjinga-anaamua kutulia. Ndoa za wenza ambao wana utofauti wa kielimu zina kazi sana, nimeshuhudia nyingi sana, unakuta Mme na masters na mke ana form 4 ni shida juu ya shida uelewa unakuwa unapishana sana.
 
Mmeambiwa master zenu na degree zenu muziache katka makaratasi sasa unachotakiwa kufanya ni ku focus na Maisha tuliyonayo mtaani, sasa kumbuka utapokuja ukasema una degree binafsi nakuangalia na degree yako 🤣🤣
 
Tatizo hapa neno romantic watu wamelichukualia directly kwenye sex, but kama nimemuelewa mtoa mada hoja yake-anazungumzia u-romantic katika mahusiano ile flavour.

Mtoa mada mimi nimekuelewa upo sahihi kabisa mchanganyiko wa mahusiano kati ya mwenye elimu kubwa na ndogo huwa sio mzuri kabisa.
 
Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?

Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?

Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure,ampate demu mwenye bcom degree ya hapo udsm, Diamond atakua na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
Amka hapo ulipo nenda katafte maisha ujitegemee we dogo, ndio akili yako itakapokomaa.
 
Back
Top Bottom