Nimesoma mawazo ya wengi nikagundua kuwa somo hili ni gumu.
Ili ulielewe Lazima utofautishe aina za ndoa.
Kuna aina kuu mbili za ndoa
1. Ndoa ambayo ni za hiari (kama za sie Waislam ambayo kila mmoja wao, mume na mke, wakati wowote anaweza dai talaka na kila mtu akachukua fito zake)
2. Ndoa za kufa na kuzikana (kama ndugu zetu wakaristo ambazo mpaka kifo kiwatenganishe)
Kwa ndoa za aina ya kwanza. Elimu au utajiri au madaraka si muhimu.
Kwa ndoa aina ya pili, Elimu, Mali na Madaraka yana umuhimu sana. Ili ndoa iwe rahisi kwa wote lazima mwanaume awe na Elimu zaidi ya Mwanamke, Mali au cheo zaidi ya mwanamke.
Hili suala huwa halionekani hasa wakati lengo kuu la wawili ni UTELEZI. Lakini kipindi ambacho utelezi si muhimu sana, hapo ndipo hili suala hujitokeza.
Katika kujenga hoja yangu nitatoa mfano mmoja
Mama Salma Kikwete kila akisimama kujitambulisha huanza 'naitwa Mama Salma, Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete...' (Hapo unajifunza nini?)
Mwanamke ni mtu wa matukio, ndo maana kama akikuzidi cheo, aidha atakushiti au atahangaika ili nawe umkaribie au umzidi kabisa ili awe proud kwa watu.
Hoja yangu inaweza isikubaliwe na mabinti ambao kwa wakati huu wanasaka waume. Maana kwa kipindi hiki jambo muhimu kwao ni kuitwa mke wa fulani ili mradi mb.oo inasimama.
Cc.
Lenie
Lanlady