Hivi kibongo bongo ni sahihi mwanaume au mwanamke asiye na degree kumiliki mtu mwenye degree?

ndoa za wenza ambao wanautofauti wa kielimu zina kazi sana nimeshuhudia nyingi sana,unakuta Mme na masters na mke ana form 4 ni shida juu ya shida uelewa unakuwa unapishana sana.
Karudie tena kufanya research yako. Mwanaume anacho hitaji kwa mwanamke heshima/utii,ndicho kitu ambacho wengi wa wanawake wasomi na wenye vipato hawana heshima/utii,sababu ya viburi vya fedha.

Na ndio maana wanaume wana prefer kuoa mwanamke mwenye elimu ya kawaida basi.
Ndoa sio shule haitaji genius unahitaji uelewe misingi ya ndoa kwamba mume ampende mke wake na mke HAMWESHIMU (UTII) mme wake basi.
 
Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?

Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?

Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure,ampate demu mwenye bcom degree ya hapo udsm, Diamond atakua na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
Halafu utashangaa kuambiwa huyu naye ati ana degree pia.
 
Karudie tena kufanya research yako. Mwanaume anacho hitaji kwa mwanamke heshima/utii,ndicho kitu ambacho wengi wa wanawake wasomi na wenye vipato hawana heshima/utii,sababu ya viburi za fedha.

Na ndio maana wanaume wana prefer kuoa mwanamke mwenye elimu ya kawaida basi.
Ndoa sio shule haitaji genius unahitaji uelewe misingi ya ndoa kwamba mume ampende mke wake na mke HAMWESHIMU (UTII) mme wake basi.
Need I say more?

Thread closed.
 
Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?

Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?

Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure,ampate demu mwenye bcom degree ya hapo udsm, Diamond atakua na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
Mfano wewe ndo mwanamke mwenye degree unatongozwa na mimi nisie na degree lakini Nina pesa halafu na mwanaume mwengine ana degree ila hana pesa ni yupi utaanza naye maisha?
 
Degree ni karatasi
Maisha hayana formula kamili
Degree inabakia kichwani yani ule mchujo wake ndo unautumia maishani
Degree isikuchanganye
 
Karudie tena kufanya research yako. Mwanaume anacho hitaji kwa mwanamke heshima/utii,ndicho kitu ambacho wengi wa wanawake wasomi na wenye vipato hawana heshima/utii,sababu ya viburi vya fedha.

Na ndio maana wanaume wana prefer kuoa mwanamke mwenye elimu ya kawaida basi.
Ndoa sio shule haitaji genius unahitaji uelewe misingi ya ndoa kwamba mume ampende mke wake na mke HAMWESHIMU (UTII) mme wake basi.
Anakuwa mtii sababu ya uelewa wa mambo kuwa mdogo, ndio maana wengi wao wakifika age fulani na kuelewa baadhi ya mambo hubadilika sana.

Utii wa Mwanamke unatakiwa utokane na uelewa sio lack of information. Wanawake wengi wenye elimu ndogo kuanzia darasa LA 7, form 4 na form 6 utii wao katika ndoa unatokana na uoga na uelewa mdogo wa mambo
 
Haimaanishi kila mahali ujioneshe ww ni muhaya,...
 
Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?

Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?

Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure,ampate demu mwenye bcom degree ya hapo udsm, Diamond atakua na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?

Definition of terms: Tutafsirie maana ya neno kumiliki.
 
Kila mtu ana vigezo vyake kwenye mapenzi tuishi humo.
Ila kikubwa naona awe presentable aisee hapa tusikwepe.

Ndugu zako unakuta ambae hana elimu ana certificate/diploma halafu wewe unapeleka la saba au f4

Aisee Peer pressure is real hata ukiwa mt mzima[emoji23]
 
Anakuwa mtii sababu ya uelewa wa mambo kuwa mdogo,ndio maana wengi wao wakifika age fulani na kuelewa baadhi ya mambo hubadilika sana.

Utii wa Mwanamke unatakiwa utokane na uelewa sio lack of information.Wanawake wengi wenye elimu ndogo kuanzia darasa LA 7,form 4 na form 6 utii wao katika ndoa unatokana na uoga na uelewa mdogo wa mambo
Shauri yako na ndio maana wasomi wengi wa kike ndoa zao zina migogoro.

Sio mimi niliye sema hivyo bali ni aliyeweka misingi ya kiumbaji,kwamba mume AMPENDE mkewe na mke HAMWESHIMU/UTII mmewe ipo hivyo.

Wewe unazungumzia uelewa upi?

Maana ndoa haihitaji uji-genius sababu misingi yake ipo na ishawekwa.Halafu jifunze kutofautisha kati ya akili za darasani na za maisha kwani ni akili mbili tofauti.

Ukimuona mwanamke msomi ndoa yake inaenda vizuri kaa ukijua akifika nyumbani,degree/mster/uboss anauacha mlango.Nyumbani boss/kiongozi ni mume basi.
 
Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?

Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?

Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure,ampate demu mwenye bcom degree ya hapo udsm, Diamond atakua na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?

Kwanza mimi si shabiki wa Diamond, na naweza kusema mapungufu mengi ya Diamind. Kuanzia kukisa elimu rasmi mpaka mambo mengi ya kike Wafaransa wanachokiita savoir faire.

Lakini, kwa kuangalia ujumla wa kazi ya Diamond, amefanya kazi jubwa sana, Waingereza wanasema "he is punching above his weight".

Kwa watu walio result oriented, Diamond ni zaidi ya degree, Diamond ni somo la kusomea degree au hata kufanyia thesis ya Ph.D.

Yani, kwa wenzetu wanaoenda na wakati, maisha na kazi za Diamond yanaweza kufanyiwa thesis na utafiti, mtu akapata Ph.D ya biashara ya muziki wa Tanzabia kwa kumsoma Diamond na kuandika chapisho la kitaaluma.

Sasa ukimsengenya mtu kama huyo kwamba hana degree, wewe nsiye utakuwa limbukeni wa kuthamini elimu ya makaratasi kuliko elimu ya vitendo.

Diamond katoa somo la elimu ya vitendo ambayo watu wachache sana wameweza kulitoa, degree or no degree.

Hebu soma watu wanavyomuandika hustle zake, despite all his shortcomings.

Watanzania wana kasumba sana ya kuthamini elimu ya makaratasi.

Kuna Mzee mmoja alikuwa Katibu Mkuu katika wizara nyeti Tanzania.

Alisema yeye hawezi kuongea na mtu asiye na degree. Hawana cha kuongea.

Baadaye yule mzee alipata kesi kubwa akafungwa siku nyingi sana.

Wale rafiki zake wenye degree wote waliogopa kwenda kumuona gerezani, wakiogopa kuhusishwa na kesi ile.

Katika watu waliokwenda kumuona gerezani, wachacge sana walikuwa na degree, wengi wao walikuwa ni wale ambao hawakuwa na degree.

Yule mzee alivyotoka gerezani alijua kuishi kwa kuheshinu watu wote bila kujali degree.

Hizi tabia za kuthamini sana degree ni ulimbujeni wa nchi masikini ambako degree inaonekana usomi, wakati degree ni kitu cha kawaida sana, kuna wasomi wengine ni autodidakcs tu
 
Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?

Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?

Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure,ampate demu mwenye bcom degree ya hapo udsm, Diamond atakua na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
Kwani kuna digrii romantic au inayoongea?
 
Back
Top Bottom