Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💯Nonsense 🚮🚮
Sio kweliTatizo hapa neno romantic watu wamelichukualia directly kwenye sex, but kama nimemuelewa mtoa mada hoja yake-anazungumzia u-romantic katika mahusiano ile flavour.
Mtoa mada mimi nimekuelewa upo sahihi kabisa mchanganyiko wa mahusiano kati ya mwenye elimu kubwa na ndogo huwa sio mzuri kabisa.
Kwa hiyo huko chuoni huwa mnafundishwa kuwa romantic?Hii mada inadhalilisha sana kujadiliwa na mtu anayejiita msomiTatizo hapa neno romantic watu wamelichukualia directly kwenye sex, but kama nimemuelewa mtoa mada hoja yake-anazungumzia u-romantic katika mahusiano ile flavour.
Mtoa mada mimi nimekuelewa upo sahihi kabisa mchanganyiko wa mahusiano kati ya mwenye elimu kubwa na ndogo huwa sio mzuri kabisa.
Kiukweli ameidhalilisha sana elimu,na ameondoa maana ya kuwa na elimu.Halafu utashangaa kuambiwa huyu naye ati ana degree pia.