NakaziaNonsense 🚮🚮
Watu wengine kuchoshana tu yaniNakazia
Na degree yako unasubiria tukupe ajira wakati diamond kajiajiri kutupungizia mzigo Serikali.....Sasa wewe na yeye nani anatulipa kodi nzuri???????? Ulichoandika ni utoto mtupuHivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?
Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?
Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure,ampate demu mwenye bcom degree ya hapo udsm, Diamond atakua na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
Unataka lugha au unataka mwajibikaji???Nyie ndio mnasababisha wenye degree kukosa kuolewa.
Mie kwakweli nimpate anayejua angalau kuzungumza kiingereza, maana kwa ninavyopenda kuchanganya lugha, anaweza kuhisi namtukana buree! Atleast awe anajua lugha zaidi ya moja! Zaidi zaidi English! Inapendeza sana!😀
Sio kupelekeshwa ame opt kutolumbana na kubishana na mtu mjinga-anaamua kutulia. Ndoa za wenza ambao wana utofauti wa kielimu zina kazi sana, nimeshuhudia nyingi sana, unakuta Mme na masters na mke ana form 4 ni shida juu ya shida uelewa unakuwa unapishana sana.Degree haitunzi ndoa, hapa Nina Baba K na degree yake lakini anapelekeshwa na marafiki wasio na degree🤣🤣
Hadi unajiuliza "huko chuoni mlienda kusomea ujingaa"🤣🤣🤣🤣 in Faiza's voice🤣
💯% ✔️Nonsense 🚮🚮
Amka hapo ulipo nenda katafte maisha ujitegemee we dogo, ndio akili yako itakapokomaa.Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?
Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?
Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure,ampate demu mwenye bcom degree ya hapo udsm, Diamond atakua na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?