Farey_King
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 461
- 838
Sasa wewe degree imekusaidia nini kitandani? Life gives us knowledge, that school can'tHivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?
Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?
Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure,ampate demu mwenye bcom degree ya hapo udsm, Diamond atakua na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
♥️Na degree yako unasubiria tukupe ajira wakati diamond kajiajiri kutupungizia mzigo serikali.....Sasa wewe na yeye nani anatulipa kodi nzuri???????? Ulichoandika ni utoto mtupu
Futa upuuzi wako, hivi unaweza ukawa na degree bado ukawa mpuuzi hivi!!!!Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?
Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?
Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate demu mwenye bcom degree ya hapo Udsm, Diamond atakuwa na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
Mi Wangu ana Master halafu nimemwajir. Bro yeye ana Master ya darasan mi nina PhD ya mtaan.Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?
Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?
Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate demu mwenye bcom degree ya hapo Udsm, Diamond atakuwa na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
Kwani degree ni kitu gani kwa maisha ya leo ? Mtu ana degree ya kwenye makaratasi halafu hana kila kituHivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?
Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?
Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate demu mwenye bcom degree ya hapo Udsm, Diamond atakuwa na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
Angalau wewe una maono.Sio kupelekeshwa ame opt kutolumbana na kubishana na mtu mjinga-anaamua kutulia. Ndoa za wenza ambao wana utofauti wa kielimu zina kazi sana, nimeshuhudia nyingi sana, unakuta Mme na masters na mke ana form 4 ni shida juu ya shida uelewa unakuwa unapishana sana.
Umenikumbusha rafiki yangu aliwahi niambia atoolewa na mwanaume yeyote ilimradi ajue tu kingereza.Nyie ndio mnasababisha wenye degree kukosa kuolewa.
Mie kwakweli nimpate anayejua angalau kuzungumza kiingereza, maana kwa ninavyopenda kuchanganya lugha, anaweza kuhisi namtukana buree! Atleast awe anajua lugha zaidi ya moja! Zaidi zaidi English! Inapendeza sana![emoji3]
Mimi ni dereva wa NGO's since 1996,mwenye elimu ya kidato cha nne na NITHivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?
Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?
Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate demu mwenye bcom degree ya hapo Udsm, Diamond atakuwa na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
Mkuu watu wenye digirii wanazidi kuwawajinga kila kukicha hasa hizi za 2020kuja mbele sababu vinatoka vi kijana haviba akiliHivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?
Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?
Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate demu mwenye bcom degree ya hapo Udsm, Diamond atakuwa na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
Yaani mkurya kwakuwa umepata degree juzi, basi ndo hatupumui, nahuku wenzako wana PhD wapo mitaani hawana ajira.Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?
Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?
Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate demu mwenye bcom degree ya hapo Udsm, Diamond atakuwa na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?
Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?
Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate demu mwenye bcom degree ya hapo Udsm, Diamond atakuwa na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
Sasa kwa i mwanamke degree yake wewe inakusaidia nini? Mwanamke unavhohitaji toka kwake mbususu. Hiyo degree ampelekee baba yake huko aliyemsomesha. Kwa mume qualification ni uno sura na chura basiHivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?
Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?
Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate demu mwenye bcom degree ya hapo Udsm, Diamond atakuwa na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
Nimesoma mawazo ya wengi nikagundua kuwa somo hili ni gumu.Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?
Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?
Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate demu mwenye bcom degree ya hapo Udsm, Diamond atakuwa na any point ya kuongea na huyo mpenzi wake kweli apart from uhuni huni wake tu?
LenieNonsense 🚮🚮
SawaNimesoma mawazo ya wengi nikagundua kuwa somo hili ni gumu.
Ili ulielewe Lazima utofautishe aina za ndoa.
Kuna aina kuu mbili za ndoa
1. Ndoa ambayo ni za hiari (kama za sie Waislam ambayo kila mmoja wao, mume na mke, wakati wowote anaweza dai talaka na kila mtu akachukua fito zake)
2. Ndoa za kufa na kuzikana (kama ndugu zetu wakaristo ambazo mpaka kifo kiwatenganishe)
Kwa ndoa za aina ya kwanza. Elimu au utajiri au madaraka si muhimu.
Kwa ndoa aina ya pili, Elimu, Mali na Madaraka yana umuhimu sana. Ili ndoa iwe rahisi kwa wote lazima mwanaume awe na Elimu zaidi ya Mwanamke, Mali au cheo zaidi ya mwanamke.
Hili suala huwa halionekani hasa wakati lengo kuu la wawili ni UTELEZI. Lakini kipindi ambacho utelezi si muhimu sana, hapo ndipo hili suala hujitokeza.
Katika kujenga hoja yangu nitatoa mfano mmoja
Mama Salma Kikwete kila akisimama kujitambulisha huanza 'naitwa Mama Salma, Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete...' (Hapo unajifunza nini?)
Mwanamke ni mtu wa matukio, ndo maana kama akikuzidi cheo, aidha atakushiti au atahangaika ili nawe umkaribie au umzidi kabisa ili awe proud kwa watu.
Hoja yangu inaweza isikubaliwe na mabinti ambao kwa wakati huu wanasaka waume. Maana kwa kipindi hiki jambo muhimu kwao ni kuitwa mke wa fulani ili mradi mb.oo inasimama.
Cc.
Lenie
Lanlady
I ndo hapo, degree kwani anakuja kuomba kazi kwakeSasa kwa i mwanamke degree yake wewe inakusaidia nini? Mwanamke unavhohitaji toka kwake mbususu. Hiyo degree ampelekee baba yake huko aliyemsomesha. Kwa mume qualification ni uno sura na chura basi