Mkuu sasa kama kuwa single mother ni kasoro, si hiyo kasoro ita NEUTRALIZE baadaye?Ndoa ni muunganiko wa watu wawili mwanamke na mwanaume, wenye kasoro na tofauti nyingi tuu sio lazima waendane kila kitu, ila katika kuishi mnajikuta hizo kasoro zina neutralise.
True 💯 %Don't marry single mothers,
They don't need Love,
They need help.
Sometimes we regret like..how did I get myself into this f*cking circle of life? Only to realize finally that you cant get away fully with your everything.Hahahah "hits harder like 50kg on the scrotum" made me roll down on laughters.
She's right, you gots to be the daddie man. Feed the nigglets please!
Roho mbaya tu imekujaa. Mkuu acha kuwabania single mothers; waache waolewe na mwanaume yeyote mwenye uwezo wa kutunza watoto wake. Wewe single mothers wakiolewa kinakuuma nini? Acha hizo mkuu.Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto?
We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda kuchukua mtu ambaye tayar ana kifamilia chake pembeni?
Mwanaume mwenzangu, take your time choosing your woman, usikurupuke, utapata tuu mwanamke unayemtaka.
Unaanzishaje maisha na mtu ambaye tayar yuko One step ahead of you.
Kuna raha yake wote wawili mwanamke na mwanaume mkikaribisha mtoto wenu wa kwanza duniani.
Hata kama unampenda, achana nae utapata tu unayemtaka, najua inauma ila nakuhakikishia kuna siku utaamka hayo maumivu hayatokuwepo tena.
Mwingine utamsikia anasema "Huyu ni soulmate wangu", nakwambiaje hakuna kitu kama "Soulmate" hapa duniani, (yaan kwamba kuna mtu amezaliwa kwa ajili yako tuu na wewe umezaliwa kwa ajili yake tuu) hayo mapokeo ya "Soulmates" yameanzishwa na wagiriki zamani huko hayana ukweli wowote, ni kama tuu wanawake wanavodanganyana "ooh sijui mm ni Sagittarius au Virgo" yaan haiwezekani mpangilio wa nyota huko angani wakati unazaliwa ika-determine personality yako, hio kitu haipo na hata huyo unayemwita "Soulmate" mnalishana uongo tuu.
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili mwanamke na mwanaume, wenye kasoro na tofauti nyingi tuu sio lazima waendane kila kitu, ila katika kuishi mnajikuta hizo kasoro zina neutralise.
Ewe mwanaume usiendekeze huo ujinga wa "soulmate" utakugharimu.
Unaponunua gari used, unalipia matatizo yalisababishwa na mwanaume mwingine. (I'm not talking about cars)
kama mwanaume una kila sababu ya kuanzisha familia na mtu ambaye hana watoto, kwann unaenda kuoa single mother?
Don't marry single mothers,
They don't need Love,
They need help.
Hakuna hicho kitu unless watoto wa B wawe na ustarabu tuSasa mkuu najiulizaga kwenye Mirathi itakuaje hapo. Sasa watoto kutoka ukoo "A" si wata rithi mali za ukoo "B"
Sasa mkuu najiulizaga kwenye Mirathi itakuaje hapo. Sasa watoto kutoka ukoo "A" si wata rithi mali za ukoo "B"
Ndoa ambayo imewin watoto ni ngumu sana kuifanyia marekebisho maana licha tu ya kwamba ni mtu mmejuana na kuzoeana muda mrefu lakini wale watoto wanabaki kama alama ya ushindi yaani unalazimika kuishi na mtu kwasababu ndio wako huyo na hata ukikataa bado ukifikiria unaona kabisa huyo ndio wako..Sasa mkuu najiulizaga kwenye Mirathi itakuaje hapo. Sasa watoto kutoka ukoo "A" si wata rithi mali za ukoo "B"
Na bahati ya kukutana na ma single maza Acha tu unaweza ukakataa km wameshazaUmeongea ukweli mtupu na una uzoefu nao na unawajua kiundani zaidi. wengi wao wanataka uwalee watoto wao tu na hawataki kusikia habari ya kuzaa tena,Singe mother mwenye uchumi wake mzur na mtoto wake kwao siyo njaa huyo kidogo anaweza akakubali. kuzaa mapema kama utamuoa.
Issue ya Mirathi kwa jamii yetu huwa haikwepeki maana huwa inasimamiwa na wanaukoo ambapo wao hufanya reasoning na utu hivyo lazima apate tu ni bora upate single maza mwenye mtoto wa kiume kuliko mwenye mtoto wa kike..Hakuna hicho kitu unless watoto wa B wawe na ustarabu tu
Mkuu lakini si watapata urithi wa Mama yao ambaye ata rithi Mali za Mume wake?Hakuna hicho kitu unless watoto wa B wawe na ustarabu tu
Ndg yangu naongea Kwa uzoefu kabsa wala sio kubahatisha nimetoka kwenye familia ya Mzazi moja na wake wengi na bado kwenye familia kuna matabakaIssue ya Mirathi kwa jamii yetu huwa haikwepeki maana huwa inasimamiwa na wanaukoo ambapo wao hufanya reasoning na utu hivyo lazima apate tu ni bora upate single maza mwenye mtoto wa kiume kuliko mwenye mtoto wa kike..
😂😂😂😂😂 Stroke ushajaa kwenye mfumo….! Hutaki ushauri kabisaMimi naona hapa kila mtu aamue vile nafsi yake imemtuma.
Maswala ya kupangiana cha kufanya hapana.
Mtu kama unaona unaweza ishi na single mother sawa.
Kama moyo wako hauna amani kuwa nae acha.
Hapo ss Mrithi ni Mama na sio watoto Namna ya ugawanyaji wa gawio la mama tunachukulia km n Matumizi Binafsi (hatumpangi)Mkuu lakini si watapata urithi wa Mama yao ambaye ata rithi Mali za Mume wake?
Mkuu hebu elezea(fafanua) vizuri nijifunze zaidi ,maana nataka kumzalisha mmojaHalafu ukiishi na single maza tu ukazaa nae yaan unakuwa ushajichafulia historia yako hapa duniani but huwa hatujui kabisa yaani unawaza kama inawezekana uwachomoe wale watoto wako kwake but unagundua kuwa umezaa nae huyo huyo yanabakia kuwa majuto..
You just stepped in it with twin toes, keep on pushing no room for regrets! Time waits for no man.Sometimes we regret like..how did I get myself into this f*cking circle of life? Only to realize finally that you cant get away fully with your everything.
A lot of pain and you messed up your life..
Yesterday you could've seen me sitting along my children regreting a lot like what kind of life is this? This is not what I wished for.
Kua single mom sio kasoro, hio ni profile yake, moja kati ya attributes zake, ni kama useme kuwa na mtoto ni kasoro, lahasha.Mkuu sasa kama kuwa single mother ni kasoro, si hiyo kasoro ita NEUTRALIZE baadaye?
Nilikuwa tuu nawakumbusha wanaume wenzangu kwamba you have to choose the best option in front of you, una single mom mbele yako na mdada ambaye hana maungamo na wanaume wengine.Roho mbaya tu imekujaa. Mkuu acha kuwabania single mothers; waache waolewe na mwanaume yeyote mwenye uwezo wa kutunza watoto wake. Wewe single mothers wakiolewa kinakuuma nini? Acha hizo mkuu.
Imagine kama huyu wa kwangu inatokea mwanaume anajichanganya anaenda kumuoa maana najua atacheza tricks zile zile alizocheza miaka kumi iliyopita maana kwa kumsikiliza tu kaka yake nakiona kile kile ambacho nilitengenezewa miaka ile yaan now anataka apeleke watoto kwao mkoa mwingine then arudi mjini kuhangaika..Nilikuwa tuu nawakumbusha wanaume wenzangu kwamba you have to choose the best option in front of you, una single mom mbele yako na mdada ambaye hana maungamo na wanaume wengine.
Choose wisely.
Aisee,Nilioa single mother(mtoto mmoja) hadi leo tunaishi vizuri kabisa.
Baba wa mtoto haifahamiki aliko ni mwaka wa 9 huu toka mke wangu atelekezwe.
Sijawahi kujutia kuwa nae maishani. Niko nae kwa miaka mitatu sasa.
Dah bro issue yako ni nzito sana, miaka 10 sio mchezo, kweli mwanamke anazaliwa tayar ni "world class actress"Imagine kama huyu wa kwangu inatokea mwanaume anajichanganya anaenda kumuoa maana najua atacheza tricks zile zile alizocheza miaka kumi iliyopita maana kwa kumsikiliza tu kaka yake nakiona kile kile ambacho nilitengenezewa miaka ile yaan now anataka apeleke watoto kwao mkoa mwingine then arudi mjini kuhangaika..
Ajaribu bahati kwa mara ya tatu tena
Sasa we unaeshupaza shingo naomba uje ukutane na huyu wangu baadae uanze kutafuta kama wazazi wenzake tulikufa!!
Hatufi mioyoni mwao na watoto hao ndio chanzo cha migongano isiyoisha sasa inapofikia hatua fulani yeye anakwambia nataka tuachane wakati huo tayari ashakuzalia mtoto au watoto..