Hivi kuna kabila lenye watu wenye roho mbaya kama Wasagara?

Hivi kuna kabila lenye watu wenye roho mbaya kama Wasagara?

Status
Not open for further replies.
Dah pale panataka ukauzu kweli pale nikipita kwenye gari nikiwa safarini sitaki hata kufumbua macho.ekari nzima ya vitunguu kuambulia gunia mbili ahaaaa
Ulijaribu kufanya uchunguzi wa kisayansi kujua hasa tatizo mpaka upate Gunia 2?
Je ni mbegu, ugonjwa, kutomwagilia....???
 
Hawa ndugu zetu wanaparikana wilaya za kilosa,morogoro na kilolo ,iringa.
Hawa ndio wale Carl Peters aliingia mkataba na chief wao jamaa fulani hivi mjanja ila alikuwa hajui kusoma,Chief Mangungo.
Ukienda mgeni kwenye miji yao unaweza kufukuzia demu mwenye ngoma asitokee mtu wa kukustua hata kama mnakunywa wote bia moaka waakikishe umemgonga.
Ukikodi shamba watakukodisha shamba lisilo na rutuba ili mradi tu usivune.
Ukinunua miche au mbegu kwao watakuuzia ile hafifu ili i usivune.
Kulisha sumu mifugo ya wenzao ni kawaida sana.
Ruaha mbuyuni ni kata ila imekuwa na kituo cha polisi tangu enzi za mkoloni chenye hadhi ya wilaya kutokana na matukio ya wasagara
Kuuna na kutupana vichakani au kurogana ni kawaida sana hawa jamaa.
Kwanza huwezi kujua kama wanaexist kwenye miji mingine
Nilishangaa Mwanza na Tanga kuna sehemu zinaitwa Usagara
Badilikeni washkaji
USAGARA Ya Mwanza haina uhusiano na hao wasagara unaowazungumza. USAGARA Ni neno la kisukuma lenye maana 2 ya kwanza mbaya.. (ousagara) ya Pili kulala chali..(ousagala).. moja ya maana mojawapo ya hizo 2 ndiyo Tafsri ya Eneo la Usagara lililipo wilaya ya Misungwi mkoa wa Mwanza.
 
Hivi wasagara na wale wazigua wa Moro Sawa coz tabia zao zinafanana kabisa
 
ee usagara ni pale mzani kisha unaipita nyegezi stand(ipo kwenye ujenzi)kuna stand mpya ndio mabasi mengi yanashushia abiria hapo mbele ya nyegez stand
Miaka 8 imepita sasa, sijaja Mwanza.

Hapo wanapojenga Stand ni eneo la Buhongwa? maana niliwahi kusikia tetesi za stand ya Nyegezi kuhamishiwa Buhongwa
 
Mangungo aliingizwa cha kike na Carl Peters hakujua kilichoandikwa yeye aliketewa zawadi akaambiwa weka dole gumba hapa,kumbe ndio kawauza wasagara,
Nikumbushe kwa undani kidogo kuhusu huo Mkataba wa Ulaghai.

Niliusoma kwenye Maarifa ya Jamii darasa la 5, kumbukumbu zimenitoka ingawa jina la Mangungo halijawahi kunitoka
 
Hapana inajengwa pale pale nyegezi ilipokua siku zote
Miaka 8 imepita sasa, sijaja Mwanza.

Hapo wanapojenga Stand ni eneo la Buhongwa? maana niliwahi kusikia tetesi za stand ya Nyegezi kuhamishiwa Buhongwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom