MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
- Thread starter
-
- #81
sina uhakika kama nina uhitaji navyo kwa sasa maana nilishahamia kwenye ulimwengu wa Biashara.Mbona ni rahisi kwa sasa na gharama ninafuu huku halmashauri ya mkoa au omba msaada humu
Inaumuhimu ukihitaji kwenda kusoma njeesina uhakika kama nina uhitaji navyo kwa sasa maana nilishahamia kwenye ulimwengu wa Biashara.
Na hua hawaachi ila kuna madogo walimkata mapanga jamaa mmoja kitaa hio hio akawamark akaenda kureport kisha akaanza kuwafuatilia kwa Doria ya askari wapelelezi na jamaa na ndugu kingine walichoharibu walimuibia simu yake ya iPhone kwa hio akawa anawatrack walipo wakadakwa wote wakafunguliwa kesi mahakamani hukumu hata haikuchelewa wakaswekwa ndani ilikua 2017 hio kabla wewe haujaja 2018 sasa hayo mapaka hua hayaishi wakifungwa huku nje kunakua na meengine yanalia nyau kila usiku ukiingiahayo matukio Mbeya ni kawaida sana hasa mitaa ya Forest. Mbeya ni mkoa ambao huwa siwezi kuusahau kwenye Maisha yangu. Salute 🫡
Hahofii ukirudi ghaflaMbeya hiyo ni kawaida mkuu, ukisafiri mwizi anakuja kuishi kwako anapika vyakula vyote vilokuwemo ndani kama ni madem anavusha akitosheka ndo anasafisha kila kitu
Pongezi kwa demu wako
Angekua anakaa kwao ungeteseka zaidi
tukio la kwanza nilikabidhiwa askari mpelelezi mmoja kila nikimcheki kwenye simu yupo Bar analewa, ukipanda kwenye gari yake kila mwanamke ataekutana nae road ana matako makubwa lazima asimame aanze kumuimbisha. kiufupi Polisi wa Bongo hawana maana. Rushwa tu ndo kitu wanajua kufuatiliaKama hali mbeya ipo hivyo kama mnavyosema sasa polisi wanafanya kazi gani?
Hii ni aibu kubwa sana kwa jeshi la polisi
"mwizi hatoki mbali"Hahofii ukirudi ghafla
Sawa90% wanalipiwa
Huyo alipanga nyumba ya wizi wakawa wanamchora tu, Kuna maswali najiuliza, Ina maana JAMA hana hata mshikaji hapo pembeni amshitue owa Kuna mtu huku geto kwako? Inafikirisha sana"mwizi hatoki mbali"
Ehee nilisoma comments nikaona kajibu ni Mbeya 😹Hivi ni wa Mbeya yule? Nimeona hio clip. Binti kachanganyikiwa kabisa.
Picha zenyewe vipande alivyokuwa anaiba uzi wa selfika 😹D kuna jamaa alikuwa anakutrendisha huko PM kama wiki mbili nyuma ulimkosea nini? though sikuamini kama ni wewe, stay safe.
So zimeungwa kwa AI kumbe.Picha zenyewe vipande alivyokuwa anaiba uzi wa selfika 😹
Isyesye sehemu tulivu na ya kishua ni Viwanja vipyaa tu huko kwingine ni kwa kawaida uswazi.Mkuu Isyesye ni kubwa alaf kuna mtaa wake flan ndan unaitwa itez kama huna gari utapsha njia mpk ukome utapakumbk mwakibete
Hakika kuna shida kubwa sanatukio la kwanza nikikabidhiwa askari mpelelezi mmoja kila nikimcheki kwenye simu yupo Bar analewa, ukipanda kwenye gari yake kila mwanamke ataekutana nae road ana matako makubwa lazima asimame aanze kumuimbisha. kiufupi Polisi wa Bongo hawana maana. Rushwa tu ndo kitu wanajua kula
Sijui mkuu.. nayoijua ni half picture inayoonyesha forehead na nywele tena iko B&W na nyingine yenye identity ya dimpoz.. hiyo sijaonyeshwaSo zimeungwa kwa AI kumbe.
mkuu unakuta Nyumba mmepanga wapangaji zaidi ya 15 na kila mtu yuko bize na mambo yake huo muda anatoa wapiHuyo alipanga nyumba ya wizi wakawa wanamchora tu, Kuna maswali najiuliza, Ina maana JAMA hana hata mshikaji hapo pembeni amshitue owa Kuna mtu huku geto kwako? Inafikirisha sana
Ohh sawa, ile sio black and white na ndio hiyo type two uliyosema na kamdomo kakubwa kiasi.Sijui mkuu.. nayoijua ni half picture inayoonyesha forehead na nywele tena iko B&W na nyingine yenye identity ya dimpoz.. hiyo sijaonyeshwa
Unaujua uzi wa selfika? Kule watu wanapost picha. Sasa huyo kishandu alizibebea huko
Na ndiyo mkoa unaoongoza kuwa na vichaa wengi sababu ya wizi matokeo yake ni kulogwa tuKITUO KIKUU CHA WEZI NI TABORA.