Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Bro kama pesa ipo si uende ma mbele ukapandikize mtoto alafu mlete huku bongo alelewe na bibi akikua mchukue life continues, Kuna jamaa yangu katendwa sana na mapenzi alibahatisha zenji akapata demu mzungu kamzalisha mtoto mMoja demu karudi kwao kamua hia mtoto, maisha yanaendelea mkuuMimi nipo 35 Sina mpenzi, Sina mtoto, Sina mke na Wala sijisikii vibaya ila Nina hela. Afya yangu ya kimwili ipo vizuri kabisa ila maisha Yana mambo mengi sana, Kuna watu mapenzi yalitujeruhi sana kiasi ambacho tumekuwa waoga mno wa kurudi tuliyoyapitia.
Tupo hadi tufike 40+Je, nini husababisha watu kufikia hii Hali ..
Hana familia,mpenzi wala ndoa?
Ni ugumu wa maisha au Hali ya mahusiano mengi ya Sasa kutotabirika?View attachment 3683996
Ni nzuri na raha sana,, mnajipa muda wa kupumzika na kufanya mipango yenu vizuri kabisa.Kufululiza uongo aisee, sio watoto vinakuwa kama vimbwa vikiongozana
Mimi hapa, ila mwaka huu nataka usiishe bure, nitafute katoto changu cha kwanzaπJe, nini husababisha watu kufikia hii Hali ..
Hana familia,mpenzi wala ndoa?
Ni ugumu wa maisha au Hali ya mahusiano mengi ya Sasa kutotabirika?View attachment 3683996
kila mmoja yuko sawa kwa maamuzi yake!. Ila kila jambo lina umuhimu wake kwa wakati wakeMungu katuumba tofauti sana sioni kama kuzaa mapema ni suluhisho kikubwa mungu tu
Wenzio Wana watoto Tisa na Kila mtoto na mama yake.Nina wake 4 na watoto 9
Au nimekosea ndugu wananchi?
Mimi nipo 35 Sina mpenzi, Sina mtoto, Sina mke na Wala sijisikii vibaya ila Nina hela. Afya yangu ya kimwili ipo vizuri kabisa ila maisha Yana mambo mengi sana, Kuna watu mapenzi yalitujeruhi sana kiasi ambacho tumekuwa waoga mno wa kurudi tuliyoyapitia.
Kumuambia binadamu azae mapema nikumpa jukumu lisilo lake, hiyo ni kazi ya mungu ndo mpangaji uzae lini na ufe lini si binadamu watu wana matatizo ya kiafya mkuu, acha tukila mmoja yuko sawa kwa maamuzi yake!. Ila kila jambo lina umuhimu wake kwa wakati wake
Leo dada naomba nipatie basi Binti Yako mMoja kam unae unajua napitia kipindi kigumu sana cha mahusiano, hata mdogo wako, mi wamenishinda nazinguana nao Kila nikipataHalafu wadogo zangu mjifunze kutofautisha mapenzi na kupata mtoto hivyo ni vitu viwili tofauti.
Wanaume unaowataka hawakutongozi, na wanaume usiowataka ndo wanakutongoza π€ win-onemwezi ujao nagonga 32 na sina any... bt am ok with that
Mkuu unaweza mbishia ila huo ndio ukweli. Mapadre na Masista nao ni binadamu wana hisia sawa tu na sisi.Kila siku nasema we huna akili, sista na padre unajua Sheria zao? Yani sijui hata ulijuaje jamii forum hata Facebook hufai kuwepo ninge kua nakujua ninhekunyanganya smart phone nikupe kitochi hujawa na akili ya kihandle mitandao shubamiti weweπ€£π€£π€£π€£π€£
Mbaga maneno yako hayo sijasema mimi πNa hawezi kukuelewa mana hana akili.
Upo sahihi mkuu. Binafsi nimeshawahi kuwa na demu kumbe na yeye ana-date na padre. Haya mambo yapo kwenye jamii yetu.mimi nimesoma mafundisho ya kipaimara katika kanisa moja hapa dar wilaya ya temeke 2008 mwalimu wetu wa dini alikuwa katekista mwanamke wakati tupo komunio katekista wetu alikuwa mjamzito hawa makatekista au walimu wa dini kwenye manisa wanaruhusiwa kuzaa kuwa na familia.
mbaya ni kwamba ule ujauzito ulikuja gundulika ni wa padri wa kanisa letu tupikuja kujua baadae sana baada ya katekista wetu kujifungua na padre kuhamishiwa parokia nyingine.. ni swala la aibu ila ni mambo ambayo yapo..
Ex wangu wa zamani sana enz za sekondari leo hii ameolewa na mtoto wa padri huyu jamaa jina lake Ni la kuzaliwa kuanzia utotoni shule hadi kazini anatambulika kama Juma ila dini yake mkatoliki na kaoa kwa ukatoliki ndoa halali ya kikristo.
Mkuu hiyo ni tabia wa mtu na wanafanya kwa kificho nachozingumzia mimi ni ile utambulisho wa waziMkuu unaweza mbishia ila huo ndio ukweli. Mapadre na Masista nao ni binadamu wana hisia sawa tu na sisi.
Binafsi nilishawahi gongana sehemu moja na padre, kuna demu nilikuwa naye na kuna padre na yeye ana-date naye. Kwa kuwa sikumkuta bikra nikamwachia padre.
Mtu ambaye haelew n yule asiye na akili πMbaga maneno yako hayo sijasema mimi π
Mimi sina wenzangu,Wenzio Wana watoto Tisa na Kila mtoto na mama yake.
Utajua mwenyewe bwana nimeshasema mimi simo πMtu ambaye haelew n yule asiye na akili π
Majuzi amesherekea birthday yake 36 yrsHapo kwa wema ni uongo wema yuko 40+ plus huko
Wapi nimekwambia kua huyo mtu ajaribiwe kwa ujinga?Usijamribu mtu kwa ujinga wako ukahisi hatavumilia