Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Hii ni sawa sawa na kwenye uchaguzi wa mwaka huu CHADEMA wawaombe Mawakala wa CCM wawasaidie kulinda kura zao sehemu watakazoshindwa kuweka mawakala
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu unaharibu siku yangu[emoji38]
 
Wewe itakuwa ulishawahi kuishi hili laifu haiwezekani ukayajua haya mkuu
Mm ni mwanaume, nikitaka mke bila mahari ningefanya kama huyo mwamba anachokufanyia now..
Ushauri: Bora kama shida ni kuzini tu mmalizane yaishe kuliko kuwa mke bila kutolewa mahari. Utafanywa, raha utasikia na hutataka kuacha mpaka pale utakapopata mimba au ngoma sasa at that point pona yako ni kama jamaa anakupenda.
 
Natafuta wa kupanga naye..jinsia tofauti na Mimi..nataka nipate jibu la chakorii..😎
 
Nitakuja unishauri kitu mrembo, sawa ee
 
Mbona ukweli mchungu huu hakyanani
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chaiπŸ˜€πŸ˜€...Mi nina sista yangu walianza hivyo hivyo na rafiki yake waliotoka chuo kimoja, vyumba tofauti, wakaanza ooh mara leo pika ww, oh mara naomba nisaidie kupasi, mwisho wa siku wakarudisha
Chumba kimoja wakabaki na kimoja 😜... sahivi wameshajenga tunachosubiri ni ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…