Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Si uje tu nikugawie room mkuu?Hautafuti nyumba ya kupanga mkuu? Tupange kaself tugawane vyumba, sebule na jiko tutumie pamoja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si uje tu nikugawie room mkuu?Hautafuti nyumba ya kupanga mkuu? Tupange kaself tugawane vyumba, sebule na jiko tutumie pamoja?
[emoji44][emoji854]Tena wakiwa na watu wao no hatari watapoteza wapenzi wao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ni sawa sawa na kwenye uchaguzi wa mwaka huu CHADEMA wawaombe Mawakala wa CCM wawasaidie kulinda kura zao sehemu watakazoshindwa kuweka mawakala
mambo ni mukide si umeona mwenzio kaongeza na macho ya delilaa...,usalam ni zero apo haina mbili iyoNimejaribu kuivuta picha kwa mbaali 🤣🤣🤣ni kisanga 🤣🤣
Mkuu unaharibu siku yangu[emoji38]Hahahah natafuta soon, maana nimeingia jijini rasmi. Itabidi tufanye huo mpango wa kugawana rasilimali
Ila haya mambo bana, utaskia G leo mie naogopa huku kulala mwenyewe naona kama mtu amesimama dirishani. Mary bana...usiogope njoo basi ulale huku kwangu leo. Hapo picha linaanza sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ashki hazichagui kumbe?Kuna siku akiwa na nyege atamwona bonge la handsome
Unamrga pingili moja moja huku safari inasongaWe unadhani muwa ukiifanya fimbo ya kutembelea nini kitafuata?
Mm ni mwanaume, nikitaka mke bila mahari ningefanya kama huyo mwamba anachokufanyia now..Wewe itakuwa ulishawahi kuishi hili laifu haiwezekani ukayajua haya mkuu
Nitakuja unishauri kitu mrembo, sawa eeWewe haujui, picha linaanza hivi.
Mwanaume kwa kawaida ni mvivu wa kupika. Hivo mwanamke atapika chakula cha wote na atatenga mezani watakula pamoja.
Kumbuka hapo mdada atakuwa amevaa nguo ambazo sio rafiki[emoji23][emoji23][emoji23]na unajua watu wakishiba mawazo ya sex yanakuja?
Wanaanzia hapo hapo hamna hata kwenda chumbani. Kwa sababu mlango umefungwa. Baada ya hapo ni kuanza kuishi kama mume na mke tu[emoji23][emoji23].
Shida inaanza pale mmoja wapo mpenzi wake anakuja kumtembelea.
Anakuletea chura au umbile lake akilini analiongezea na mbwembwe ambazo wala hazipo ilimradi tu ujione inlove.ukiaa ukatulia shetani anakustua ina maana ile pis hujaiona au kiburi
Mnanikumbusha mbaliBaba acha tu hii mambo ni balaa[emoji13][emoji13][emoji13]
Mbona ukweli mchungu huu hakyananiMwenye kuanzisha hilo wazo atakuwa na jambo na mwenzake, na mwenzake naye akikubali hilo wazo hao kwa pamoja wanalao jambo, wameamua kuanza kwa staili yakipekee. Hakuna kijana mwenye girlfriend atakubali upangaji wa kiini macho kama huo, hali kadhalika kwa wa-kike vivyo hivyo.
Sio kwako Sasa..😎si ndo apo 😀😀😀
inawezekana vizuri tu
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai😀😀...Mi nina sista yangu walianza hivyo hivyo na rafiki yake waliotoka chuo kimoja, vyumba tofauti, wakaanza ooh mara leo pika ww, oh mara naomba nisaidie kupasi, mwisho wa siku wakarudishaKwanini
Naona hamu imskuhaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ngoja nianze jibu comments sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini huyu ni rafiki yangu na tunaheshimiana nae sana kama kaka