Kuna watu hawataki kuishi kwenye miji mikubwa yenye misongamano ya watu.Kufika dar kunaweza kuharibu maisha ya mtu kivipi mkuu?
Hivi yombo na kwa mpalange nako ni dar?Nimewaza tuu eti Kuna watu mpo humu mnaisikia Dar redioni tuu?
How come? Yani una miaka 30 plus dar hujawahi kufika??
Huko siyo kulima.Ni kununua mazao kutoka shambani.Nitaweka wafanyakaz mkuu
Nimemaanisha kufika mkuu sio kuishiKuna watu hawataki kuishi kwenye miji mikubwa yenye misongamano ya watu.
Na wanaweza kuendesha maisha yao vizuri tu bila kuishi kwenye hiyo miji.
Ndio mkuuHivi yombo na kwa mpalange nako ni dar?
Kulima sio mpaka kushika jembe mkuu acha hizo fikra mgando.Huko siyo kulima.Ni kununua mazao kutoka shambani.
Na mnaoishi huko Daisiramu wote mnapajua kwa Mpalange?Ndio mkuu
Inafikirisha.Sijawahi fika dar lakini nimefika us, finland na south.
Watu wengi mlioko dar mnaishi ya kulenga kwa supu za utumbo wa kuku dar ndo sehemu pekee utumbo wa kuku unaliwa😆😆😆Pole sana.
Nimefika kalemie,Gauteng,betty bridge,Lilongwe,kisii,githera,manyovu,Marrakech,Kumasi,delta state na kahama ila dar sijawahi fika nakusikia tu kwenye radioNimewaza tuu eti Kuna watu mpo humu mnaisikia Dar redioni tuu?
How come? Yani una miaka 30 plus dar hujawahi kufika??
Kasome tena ulichoandika huko juu.Na mnaoishi huko Daisiramu wote mnapajua kwa Mpalange?
Kwa hiyo lugha ni ngumu sana?Walime wengine. Watunze mazao wengine. Wavune na kuhifadhi wengine wewe ukiwa unacheza bao tu na kutuma malipo/ujira halafu udanganye umelima?Ni uchizi-fresh huo wakati hujui chochote kuhusu kilimo.Kulima sio mpaka kushika jembe mkuu acha hizo fikra mgando.
Tatizo mnakurupuka mada hamjaielewa nimesema kufika sijasema kuishi.Watu wengi mlioko dar mnaishi ya kulenga kwa supu za utumbo wa kuku dar ndo sehemu pekee utumbo wa kuku unaliwa😆😆😆
Kuna wamarekani hawajawahi kufika New York City licha ya wao kuzaliwa Marekani.Wakati wewe unaona kufika kwako Dar umemaliza, vile vile kuna mwamba anakushangaa umefikaje miaka 40 hujawahi Fika ama SA ama UK, ama US, china au Dubai. m
Maisha ni fumbo mkuu kirefu kwako ni kifupi kwa mwenzio.
Kuna watu mpaka wanakufa hawajawahi fika Makao makuu ya Mkoa anaoishi. Dunia ndivyo ilivyo.
Kwani mtu akifika hawezi kuishi?Au yule aliyeishi/anayeishi hakufika kwanza?Tatizo mnakurupuka mada hamjaielewa nimesema kufika sijasema kuishi.
Mkuu mbona una fikra za kimasikini? So masanja anavyosema analima mpunga kwa mawazo yako unadhani anashika jembe mwenyewe?Kwa hiyo lugha ni ngumu sana?Walime wengine. Watunze mazao wengine. Wavune na kuhifadhi wengine wewe ukiwa unacheza bao tu na kutuma malipo/ujira halafu udanganye umelima?Ni uchizi-fresh huo wakati hujui chochote kuhusu kilimo.
Ameulizwa kuhusu Kwa Mpalange anapiga chenga kama simbilisi.Mkoa una laana huo, tuje kufanya nini?
Mimi nimemaanisha kufika sio kuishi, mtu akiamua kuishi ni maamuzi yake.Kwani mtu akifika hawezi kuishi?Au yule aliyeishi/anayeishi hakufika kwanza?
Kwa hiyo mpwa leo hupajui Dar?😄Kwa kero za hilo jiji waliopo mikoani wanaishi poa