Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

Kulima sio mpaka kushika jembe mkuu acha hizo fikra mgando.
Kwa hiyo lugha ni ngumu sana?Walime wengine. Watunze mazao wengine. Wavune na kuhifadhi wengine wewe ukiwa unacheza bao tu na kutuma malipo/ujira halafu udanganye umelima?Ni uchizi-fresh huo wakati hujui chochote kuhusu kilimo.
 
Wakati wewe unaona kufika kwako Dar umemaliza, vile vile kuna mwamba anakushangaa umefikaje miaka 40 hujawahi Fika ama SA ama UK, ama US, china au Dubai. m
Maisha ni fumbo mkuu kirefu kwako ni kifupi kwa mwenzio.
Kuna watu mpaka wanakufa hawajawahi fika Makao makuu ya Mkoa anaoishi. Dunia ndivyo ilivyo.
Kuna wamarekani hawajawahi kufika New York City licha ya wao kuzaliwa Marekani.

Unakuta mtu kazaliwa jimbo la Tennessee vijijini huko, New York ana isikiaga tu.

Kama ilivyo kwa sisi watanzania unakuta mtu kazaliwa Lindi Kijijini ndani ndani huko, Dar anaisikiaga tu.
 
Kwa hiyo lugha ni ngumu sana?Walime wengine. Watunze mazao wengine. Wavune na kuhifadhi wengine wewe ukiwa unacheza bao tu na kutuma malipo/ujira halafu udanganye umelima?Ni uchizi-fresh huo wakati hujui chochote kuhusu kilimo.
Mkuu mbona una fikra za kimasikini? So masanja anavyosema analima mpunga kwa mawazo yako unadhani anashika jembe mwenyewe?
 
Back
Top Bottom