Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,718
Mambo ya uislamu yameingiaje hapa? cc: kahtaan
Ndo maana CCM wanachukia mikoa ya kaskazini, maana huko kuna watu wanaojitambua watu wasiohongeka kirahisi, watu wenye elimu ya kutosha. Ukichunguza kwa makini CCM inapendwa zaidi zaidi maeneo ya pwani, maeneo ya kusini na ya kati ya nchi na ndo sehem ambapo maendeleo yapo with exception to Dar es salaam.:eyebrows:
Imeandikwa wapi watu wenye elimu wana style zao za kusherehekea? Hapo umepotoka mkuu unashindwa kutofautisha elimu na desturi ya mtu na utamaduni wake. Halafu unaposema mafundi viatu wengi ni watu wa kaskazini unatakiwa kuweka takwimu na sio unaongea kwa kuhisi, maana huu ni ulimwengu wa utandawazi watu wasio na takwimu kama wewe hawana nafasi. Suala la kuwa na meno meusi kwa watu wa kaskazini, kwanza naomba nikuambie sio watu wa sehemu zote halafu pia ungerudi darasani ukaasome kidogo masomo ya sayansi ili ujue ni kwanini watu wana meno meusi na sio kukurupuka tu kama ulivofanya. Tanzania yote inawakubali wa kaskazini, wewe utakua unayako binafsi sio siri mkuu. :loco:Watu wenye elimu wangesheherekea Sikukuu zao kwa kunywa KINYESI na Damu??
Na mpaka leo wameshindwa kujua kuwa kwa nini mafundi viatu wengi mjini ni watu wa kaskazini??
Lbd walichonacho ambacho wengi wetu hatuna ni MENO MEUSI!
Kawe ina maendeleo na wasomi kuliko sehemu yeyote ya jiji, walichagua upinzani. Mtu aliyeelemika haachi kufikiria namna ya kupata zaidi na zaidi hata na kwa kizazi chake. Asiye na elimu ili mradi ashibe leo mengineyo kila mtu anakuja na riziki yake.
sehemu kubwa za vijijini elimu ya urai haijaeleweka vema si kwa vijana,wazee na wanawake. wao waamini kuwa ccm ni kama mzazi wao aliye walea toka enzi hizo hivyo kumkataa sasa nisawa na kuikaribisha laana kwao. Wao hawani siasa kama fursa ya kutatua changamoto zao.
Wafuasi wa cdm ni wapumbavu kupindukia,tokeni na SACCOS yenu mfu ya mtei na mkweo mbowe.Na ww unayesema watu wa kz wanathaminika sana ni taila na limbukeni kweli, na anayewathamini ninyi labda mataila wenzenu wanaoiunga mkono SACCOS mfu ya mtei.
Nafkiri wewe Dar unaiskia tu na kutembea Jimbo la Ilala unajua linaishia wapi.
Ulishawahi kujiuliza kuhusu Jimbo la Kinondoni?
hapana si cha wanyonge ila mnatumia unyonge wao kuendelea kubaki madarakani- elimu duni, afya mbaya, hawana uhakika wa milo 3 watajuwa nini maendeleo?CCM ni chama cha wanyonge.
Wafuasi wa cdm ni wapumbavu kupindukia,tokeni na SACCOS yenu mfu ya mtei na mkweo mbowe.Na ww unayesema watu wa kz wanathaminika sana ni taila na limbukeni kweli, na anayewathamini ninyi labda mataila wenzenu wanaoiunga mkono SACCOS mfu ya mtei.
Wafuasi wa cdm ni wapumbavu kupindukia,tokeni na SACCOS yenu mfu ya mtei na mkweo mbowe.Na ww unayesema watu wa kz wanathaminika sana ni taila na limbukeni kweli, na anayewathamini ninyi labda mataila wenzenu wanaoiunga mkono SACCOS mfu ya mtei.
Wafuasi wa cdm ni wapumbavu kupindukia,tokeni na SACCOS yenu mfu ya mtei na mkweo mbowe.Na ww unayesema watu wa kz wanathaminika sana ni taila na limbukeni kweli, na anayewathamini ninyi labda mataila wenzenu wanaoiunga mkono SACCOS mfu ya mtei.
Watu wenye elimu wangesheherekea Sikukuu zao kwa kunywa KINYESI na Damu??
Na mpaka leo wameshindwa kujua kuwa kwa nini mafundi viatu wengi mjini ni watu wa kaskazini??
Lbd walichonacho ambacho wengi wetu hatuna ni MENO MEUSI!